Ni combination ipi kati ya hizi ina heshima zaidi katika jamii?

Darucha

Senior Member
Dec 28, 2020
111
206
Ni ipi Kati ya hizi combination mtu akipiga One jamii inamuangalia tofauti? Tuchukulie wote wana one ya tano (1.5)

Nani ataonekana zaidi ya wenzie?

1 - PCM
2 - PGM
3 - PCB
 
kweli kama ndo ww unaetaka kwenda kusoma alafu lengo lako nihilo daah mzaziwako anahasara, sana na ataakiona malengo ulionayo dah kama alikua aishi miaka kumi atamiwilia atamaliza..... na kama ungekua mwanangu na pia ingewezekana kukueka kama rehani nipate mkopo basi ningekueka nipate atajapo ela kidogo
 
Kuna mwenzio alisomaga sijui PCM au PCB alileta Uzi humu kwamba kwasaivi yeye ni mpishi wa muhindi masaki hapo.

Maisha ya kitaa yapo kinyume sana na ya darasani.

Jamii ya sasa Heshima ni KITITA Mkuu.
 
Sio tu kwa kisingizio cha awamu hii ya tano kuhusu ajira ,,ila sikufichi ukipata fursa ya kuongea na mwanao au nduguyo anayesoma mkazanie asome kwa bidii ila mpe uhalisia wa maisha ya mtaa. Wazazi wetu walitudaganya sana.

Wewe wa Combination utakuja nielewa vizuri nilicho kiandika hapa siku za mbeleni.
 
When you control your thoughts you control your mind,when you control your mind you control your life ,and once you reach a stage of being in a total control of your life you became the master of your own destine
 
Ni ipi Kati ya hizi combination mtu akipiga One jamii inamuangalia tofauti? Tuchukulie wote wana one ya tano (1.5)

Nani ataonekana zaidi ya wenzie?

1 - PCM
2 - PGM
3 - PCB
Jamii ya waliopitia hayo masomo au jamii ipi? One ni one tu
 
Type za mleta mada ndo zinazofungua nyuzi kushindanisha vyuo they don't care kichwani wameingiza nini wao hutafuta sifa tu.
 
Mambo ya kizamani haya..PCB walikuwa wanaonekana watabe flani hivi.saivi haya mambo hayako tena.
 
Back
Top Bottom