Realrogers Ropaul
Member
- Apr 17, 2017
- 11
- 3
Ni chuo gani Tanzanian kinatoa kozi ya bioengineering na vipi kuhusu ajira ake.. Naomba mnijuze wadau
Bioengineering sizani sana inatolewa tz labda dit nlisikia wana kozi inayofanana na hiyo ila ni diploma...udsm wana chemical engineering na sua wana bioprocessing engineering! Kazi kwako!Ni chuo gani Tanzanian kinatoa kozi ya bioengineering na vipi kuhusu ajira ake.. Naomba mnijuze wadau