bahati30
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,625
- 883
Watu huwa wanachepuka mkuu ila kufikia hatua ya mMkuu nilichanganyikiwa,baada kumweleza ukweli kuwa mtoto ni wangu alilia sana kisha akatoka nikamuuliza unaenda wapi sikujibiwa,baada ya dk kama 20 hivi akarudi mda huo mimi niko room ya watoto,ghafla nikasikia mayowe mzee nikakurupuka fasta nikaingia ndani cha kwanza ilikuwa ni kukagua tumbo lipo salama ama la nikakuta lipo salama,mara akaanza kuniambia nakufa na wewe ndio sababu,akaanza kumwamsha mtoto na kumwambi amka unione kwa mara ya mwisho mama yako,mwanangu mimi nakuita hutaki mama yako nakufa, dah nikajua huyu atakuwa kanywa sumu tu kwanini aseme anakufa na kwnn amkazanie mtoto kuamka ili amuage?
Nilichozingatia ni kumwangalia mdomoni nikiona dalili za mapovu tu fasta namkimbiza hospt lakini haikuwa hivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kutumia pesa nyingi kumfurahisha mpenzi wangu kipindi tuko chuoni kumbe kashachumbiwa na mali katolewa. Siku ya graduation alikuja na mme wake na mimi nikabaki tu na joho langu. Nililivua maana sio kwa joto lile
hahaha ungemwambia tu mapema una mtotoJana nimeenda kwa mchepuko wangu wakati nacheza na mwanangu,maana nimezaa nae kidume,nikachukua video fupi.
Mzee nikarudi zangu home huku nikiwa nimesahau kufuta ile kitu.
Mara wife akaomba simu nikampa huku akiwa na binti yangu wa grade3 ghafla nikasikia sauti yangu na mwangu tukicheza huku akiita baba baba, lahaulaaa moyo ukapasuka paap. Wife kaniuliza huyu mtoto wa nani? mzee jibu sina
Kinachoendelea Mungu anajua.....
Si uwatumie msg!! Maana umeweza kupost humu ila kuwatumia msg ndugu zako umeshindwa!!Mwenye namba yangu anipigie simu 'aseme nina emergency nahitajika haraka sehemu ' Nimekutana na mtu wa Forever huwa namheshimu sana nashindwa kumkimbia jamani anaongea hadi nasikia kizunguzungu
hahaa malizia mkuuJana nimeenda kwa mchepuko wangu wakati nacheza na mwanangu,maana nimezaa nae kidume,nikachukua video fupi.
Mzee nikarudi zangu home huku nikiwa nimesahau kufuta ile kitu.
Mara wife akaomba simu nikampa huku akiwa na binti yangu wa grade3 ghafla nikasikia sauti yangu na mwangu tukicheza huku akiita baba baba, lahaulaaa moyo ukapasuka paap. Wife kaniuliza huyu mtoto wa nani? mzee jibu sina
Kinachoendelea Mungu anajua.....