stritglow
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 622
- 1,752
Hakuna kitu kisichokuwa na changamoto duniani, mapenzi/mahusiano ni mojawapo wa vitu hivyo.
Kwenye mapenzi watu wanapitia vitu vingi sana, mengine yanafurahisha, mengine yanaumiza.
Unakuta mtu anajitunza lakini mpenzi wake anamsaliti waziwazi, mwingine anasomesha halafu anakuja kukimbiwa, mwingine ana-struggle kumpatia mpenzi wake vitu anavyohitaji lakini hata ha-appreciate. Mwingine anapenda asipopendwa halafu hataki kuachia kwahiyo anaumia daily. Wengine wametishiwa kuuawa n.k . Hizi ni changamoto chache tu watu wanapitia kwenye mahusiano mbalimbali.
N.B: Sio changamoto zote ni za maumivu, zingine zinafurahisha pia.
Kwahiyo ni changamoto/misukosuko gani ulishawai pata kisa mapenzi?