Ni chaneli za YouTube zenye sifa gani hulipwa?

bila shaka hapa wasanii wanaofanikiwa kufikisha views 1M wanapata mtonyo wa kutosha au na wenyewe wama masharti yao tofauti na uliyoyataja hapo
Yes celebrities wanatengeneza pesa nzuri kwasababu wanapata views nyingi zaidi.

Lakini pia haiishii hapo. Kuna kundi la watu wao wanatafuta maarifa. Kwahiyo kama unaweza kuanzisha niche channel na kutengeneza quality contents, trust me you will make good money.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utalipwa wastani wa $2 kwa kila watazamaji 1000 katika content (video) uliyoweka kwenye channel yako.

Lakini kuna njia chache nyingine ambazo ni nzuri zaidi kuliko kutegemea idadi ya views ndiyo upata pesa YouTube.

Unahitaji kujifunza zaidi.

Sijakusoma mkuu hiyo $2 ndo kusema nn. Dadavua nikupate maana biashara mitaani zimegoma afadhari turudi mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha.!!!
I think so hapa Naona kuna mtu anajitangazia biashara naona.
Eti ukihitaji utume email kwake akuelekeze .
You are so stupid. My 8 year old niece is way smarter than you.

Wewe unaelewa lolote kuhusu sales & marketing.

Mimi nimefanya kazi na watu zaidi ya 500 hapa JF sikurupuki.

Hapa ninavyoandika nimepokea emails.

Unajua kwanini?

Watu wanajali wanapenda kujifunza. Na hao tu ndiyo ninaowajali.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona unachekelea.

Mimi ni member wa siku nyingi na ninafahamu JF ina members wa namna gani.

Kwa kuweta taarifa sawa I've been working with clients from JF for long time and they trust me.

Hawa trolls wanaofikiria negative kwa kila jambo they dont bother me at all. They are losers. Sasa unadhani losers watakuwa na kipi chakufanya?
Haha watu wa Jf hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona unachekelea.

Mimi ni member wa siku nyingi na ninafahamu JF ina members wa namna gani.

Kwa kuweta taarifa sawa I've been working with clients from JF for long time and they trust me.

Hawa trolls wanaofikiria negative kwa kila jambo they dont bother me at all. They are losers. Sasa unadhani losers watakuwa na kipi chakufanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sichekelei bali nacheka .. kuchekelea una maanisha kwamba nafurahia jinsi ambavyo wanavyo ku-attack wakati sina evidence dhidi ya tuhuma wanazokupa ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Watching hours 4000.
2. Subscribers 1000.

Hivyo vigezo viwili vinapaswa vitimizwe ndani ya mwaka kama channel yako ni mpya.

Kuhusu malipo hayawezi yakawa constant kwamba CPM ni $2, malipo yanategemea na factors nyingi.

CPC muangaliaji akiclick tangazo lilowekwa kwenye video basi malipo yatakuwa makubwa. CPC inaweza $1 au na kuendelea au chini ya hapo. Kwa hiyo kama video ina views 1000 na kuna watu 30 waliclick tangazo unaweza jikuta una $30.

2. Mda ambao mtazamaji anaangalia tangazo lilowekwa kwenye video, watazamaji wakiclick skip ad ndani ya sekunde tano probably unaweza usipate mapato mazuri hii inaitwa CPV.

Ila mtazamaji akiangalia tangazo kwa sekunde 30 youtube humcharge advertiser $0.18 per view (pia sio constant inategemea na niche ya video yako)

3. Geographical locations ya wanaongalia video. Tegemea mapato madogo kwa views kutoka nchi zinazoendelea na vice versa is true.
 
Back
Top Bottom