Ni Celebrity yupi unaetamani kutoka nae?

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,766
107,360
Daaah aisee mimi nampenda sana huyu mwanamke Scarlett Johansson
Ni muigizaji wa filamu kama vile
Avengers 1&2
Avengers_Age of ultron.
Lucy etc.
Nakapenda sana haka kabibie hasa ile sauti yake ya kukwaruza ndio inanivutia.
Wewe je?
 
download.jpg


Jessica Alba

namkubaligi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mpaka noma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom