Ni busara kuhoji mali za mwenza wako akiwa hoi kitandani?

mpwapwa kwema nimewaletea zawadi ya vitunguu. majina ya nini???? nimeamua kujirudisha maana huku ntakufa kwa stress. lol

Mi siku hizi niko Manyoni. Nimeamua niwe mfugaji wa mbuzi, njiwa, tetere, kasuku, na vitwitwi. Karibu.
 
Mi siku hizi niko Manyoni. Nimeamua niwe mfugaji wa mbuzi, njiwa, tetere, kasuku, na vitwitwi. Karibu.

teh teh teh!!! hivi hujaacha tu tabia yako ya kuchakachua threads hamisi.? mi nilijua nikirudi ntakukuta unaandika mapwenti tuuuuu. nchinjie vitwitwi nije.
 
he , uyo mamaa baada ya kumuombea mume wake uzima ana dream mali lo wanawake wngine bana ,,
 
Hivi snowhite na BADILI TABIA ,ni wanaume tu ndo wana tabia hii ya kutowaamini wanandoa wao?
"
Kwenye jambo hili,unaweza kukuta mwanamke mwenyewe ndo chanzo
"
Hata kama mwanamke sio chanzo,hiki sio kipimo cha kuwajumlisha wanaume wote.
"
Kufanya hivi ni kutokututendea haki!
Eiyer shem wangu!
nisamehe kama umenielewa nilimaanisha wanaume wote lakini ukisoma vizuri post yangu!hitimisho lilikuwa ''kwa walio na tabia hii hebu jirekebisheni ''
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh!!! hivi hujaacha tu tabia yako ya kuchakachua threads hamisi.? mi nilijua nikirudi ntakukuta unaandika mapwenti tuuuuu. nchinjie vitwitwi nije.

My dog!Ai donti bilivu mai aiz!Ni wewe Husninyo au wamekwiba passwedi yako?
 
Last edited by a moderator:
Ngugu wanachohitaji hapa ni mali zote zieleweke ili zisipotee. Wanajua ndugu yao ana mali nyingi na ana biashara nyingi anazifanya tatizo hakuna mwenye detail za kutosha kuweza kuzifuatilia endapo chochote kitatokea. Hivi niandikavyo bado yuko ICU.

Kumbuka mkewe ni mama wa nyumbani asiyejua lolote, watoto wanamahitaji mengi na hakuna cha kuwasaidia zaidi ya mali za baba yao.
 
Hapo pagumu... Amuulize ila atumie ujanja, amwambie kwa kuwa utachukua muda hapa hospital basi niambie wadeni wako na biashara zako ili nisimamie au nimuulezeke mtu wa kusimamia maana la sivyo atamkatisha tamaa mgonjwa, huwezi jua Mungu mkubwa, anaweza kupona huyo so awe very carefully kwenye kuongea.
asante sana this is the best way to ask
 
Heh! Santa claus really exists. Welcome back mkwe. Kope za xmas zinahusika.

kumbe nanyi mmekutana naye mitaa hii...muda si mrefu nimemkuta mtaa wa pili ashasahau njia ya kurudi nyumbani....
 
Ndo maana tunaambiwa tujuane vilivyo ndani ya nyumba......hapo kuna shida kubwa!!!!!!

1. Kwa nini mume hakumwambia siku zote????
2. Kwa nini mke hakuuliza kabla ya matatizo????
3. Kuna uhakika gani kama mume hajaandika mambo yake????
4. Kuna uhakika gani kama mali ni za mume kweli na ni zake peke yake????
5. Hivi mtu akiwa mama wa myumbani hatakiwi hata kujua ABC za maisha ya mumewe.......no wonder mnaolewa na majambazi.......!!!!!!

Mtu kama huyu wa kukaa na kuletewa kila kitu nyumbani hata akiachiwa mali zote bureeeee kazi bado ni kubwa mno......


Mwenye busara hujifunza kwa makosa ya mwenzie na mjinga hujifunza kwa makosa yake..............

Pole kwa yaliyomkuta na tuliobaki tujitazame kwa jicho la tatu
 
Naombeni ushauri ili niweze kumshauri rafiki aliyeniuliza kama anaweza kumhoji mumewe kuhusu mali na vitu vingine alivyonavyo maana huyo mumewe amepata ajali mbaya sana na hali yake hairidhishi kama ataendelea kuishi.

Mwanamume huyo ni mfanyabiashara na inaonekana ana mali nyingi tu ambazo mkewe hazitambui vizuri. Baadhi ya ndugu wamemshauri amhoji mumewe kabla hajafa ili mali na vitu vingine visipotee vije wasaidia watoto baadaye.

Mke anasita akijiuliza mumewe atajisikiaje? Jamii itamuelewa? Mke ni mama wa nyumbani na alizoea kufanyiwa kila kitu, sasa nahisi ndugu wanawasiwasi kuwa endapo mume atakufa mali nyingi zitapotea.

Naomba ushauri wenu, huyu mama afanyeje? je ni busara kuhoji? ataeleweka kwa jamii?

Duuu kuna nyumba moja naiona hapa mtaani haijaisha wajuzi wa mambo wansemaa jamaa alikuwa anajenga kwa siri haukumwambia mkewe na ikatokea yeye akafa kwa ajali ya gari na watu hawamjui hata huyo mkewe . japo nyumba haijaisha watu wanapanga namna ya kuichakachua imepita zaidi ya 5 years. mwambie aulize tu kama mbaya wacha iwe mbaya maana kifo ni hakika. Guys be careful hizi siri zingine hazifai.
 
Amwambie kuna malipo yanahitajika (either dawa za kununua/baadhi ya gharama za matibabu yake), hapa itajwe hela kubwa hata kwa kushirikiana na daktari. Jamaa anaweza akaanza kufunguka wapi pa kufata hela, na baadhi ya deals zinaweza kutajwa au hata mshirika wake anaweza kutajwa.


Na kama hiyo cash anayo na akiishia kuelekeza tu pa kuipata??????
 
Duuu kuna nyumba moja naiona hapa mtaani haijaisha wajuzi wa mambo wansemaa jamaa alikuwa anajenga kwa siri haukumwambia mkewe na ikatokea yeye akafa kwa ajali ya gari na watu hawamjui hata huyo mkewe . Guys be careful hizi siri zingine hazifai.

kwa kweli tujifunze kitu katika hili
 
Ngugu wanachohitaji hapa ni mali zote zieleweke ili zisipotee. Wanajua ndugu yao ana mali nyingi na ana biashara nyingi anazifanya tatizo hakuna mwenye detail za kutosha kuweza kuzifuatilia endapo chochote kitatokea. Hivi niandikavyo bado yuko ICU.

Kumbuka mkewe ni mama wa nyumbani asiyejua lolote, watoto wanamahitaji mengi na hakuna cha kuwasaidia zaidi ya mali za baba yao.

Kama ni uamuzi wa ndugu wote kwa nini mwenza ndo apewe gunia la misumari kujitwisha........ndo maana nasema kuna shida kubwa katika hii familia kuliko hili linaloletwa hapa........!!!!!???????
 
Kama ni uamuzi wa ndugu wote kwa nini mwenza ndo apewe gunia la misumari kujitwisha........ndo maana nasema kuna shida kubwa katika hii familia kuliko hili linaloletwa hapa........!!!!!???????

Inawezekana kukawa na shida au la. Mke ndio amepewa jukumu la kuhoji maana yeye ndiye mwenye wajibu wa kujua mali zao. Asipofanya hivyo yeye ndiye atakayepata shida na watoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom