Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,994
- 94,574
Ujinga ndio huu sasa, kama wanajuwa ndugu yao ana mali nyingi sasa hapa unaomba ushauri wa nini? si wanazijuwa hizo mali?Ngugu wanachohitaji hapa ni mali zote zieleweke ili zisipotee. Wanajua ndugu yao ana mali nyingi na ana biashara nyingi anazifanya tatizo hakuna mwenye detail za kutosha kuweza kuzifuatilia endapo chochote kitatokea. Hivi niandikavyo bado yuko ICU.
Kumbuka mkewe ni mama wa nyumbani asiyejua lolote, watoto wanamahitaji mengi na hakuna cha kuwasaidia zaidi ya mali za baba yao.
Wakati mwingine muwe na akili si kila anayepaki magari 5 nyumbani kwamba kwake anayamiliko wengine ni madalali tu, hata mimi kuna wakati nikimwambia shemeji yenu sina pesa huwa haamini anadhani namdanganya kumbe ukweli huwa nakuwa sina pesa kweli.