Ni bora pia viongozi wetu wapewe malori.

JAY2da4

JF-Expert Member
Nov 11, 2008
213
156
Hii nimeipata kwa bro Michuzi.Naona ni bora hawa viongozi wetu kupewa Mitsubishi Canter kwa ajili ya kubebea mizigo,maana haya mashangingi kubeba nyasi ni kufuru kwa watanzania.
 

Attachments

  • vxzawanene.jpg
    vxzawanene.jpg
    40.3 KB · Views: 110
Back
Top Bottom