Njia nzuri ya kumpa motisha ni kumlipa mshahara + commision kulingana na mauzo.Mfano kwa kila simu anayouza achukue elf 20 au Alipwe mshahara + hela ya kila siku inayofikia laki 2 kwa mwezi ?
Vipi ikitokea mkauza simu 30 kwa mwezi??Mpe mshahara tu,je kama kwa mwez mnauza simu sita tu