Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,634
- 4,750
Bado upo tayari?Kupitia Uzi huu Kama Kuna mtu yupo dar na anataka tushirikiane kwenye biashara ya ujasiriamali ikiwemo :
Kuuza maziwa fresh /mtindi
Kuuza chakula
Chips..
Nipo tayari zama dm nikupe contact zangu
Nina miezi kama miwili nishafika ofisini kwaoJaribu kuifuatilia UTT Amis
Ukipata high lilete hapa tulijueHata kwa sattelite nitafika tu mkuu, ngoja niizoom Zbar hapa.kitaeleweka tu labda awe kadanganya.
Luckdube Wewe Muungwana!Sasa mkuu wewe unaleta utani na maisha watu tupo mtaani tumepigika, siunaona mtu kaanzisha uzi kama hivi! Maana yake anahitaji msaada, pia wengine wanafaidika kupitia michango ya mawazo inayotolewa,
Tufafanulie mkuuBiashala ya matunda inalipa sana.
Maziwa naona bua wanatoa mikoani,hasa wanayachukulia ubungo,nimesahau namna ya uchukuaji Ila ubungo asubuhi ukktia timu hope ukifsnys utafiti utapata kituKwa aliewahi Fanya biashara ya maziwa fresh , mtindi.
Naomba mwanga wa hii biashara, nataka nifungue maeneo ya GoBa centre (Dar) kama ni watu wapo. . shida sijafahamu Kama huko makwao wanafuga mang'ombe ikadhiri wazo langu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hukushawishika ??Nina miezi kama miwili nishafika ofisini kwao
Return rate yao wanasema inachezea 11% hadi 16%. Sio kubwa ukichangia na inflation na transaction cost ila inasaidia kutunzia fedha. Nilifungua accountHukushawishika ??
Quotation ya biashara ya StationaryNi ukweli mkuu million 3 haziwezi kutosha kwa biashara ya stationery. Ukianzia kwenye photocopy Machine hadi kwenye vitendea kazi vingine inakuja pesa nyingi tu, labda ujibane utafute vitu used/ second hand.
Na kama unataka kupanga kwenye mzunguko mkubwa wa watu, kodi ya fremu nayo huwa kubwa.
Yawezekana mtu akaanza kwa hiyo 3 mil lakini si kwakutoa huduma zote zinazopatikana stationery.
wasambaa hoyeeeeeKuna jamaa Kariakoo Agrey mitaa ya wauza simu. Wasambaa wale dadeki ugali pande buku 2, wanaweka na vikabichi na pilipili. Mnahombania yaani foleni unakula Hadi umesimama. Siku hizi sina mishe kule Ila najua watakuwa mbali sana
Mkuu, mimi pia nimepiga kambi hapa kuona namna gani nafaidika na huu uzi. Mtu akifanya masikhara anaua matumaini yetu.Luckdube Wewe Muungwana!
nimejisikia vibaya sana! Umeongea kwa unyonge pia kwa ukweli
Tupo hapa kusaidiana
MUNGU atatuonyesha njia wote tutafanikiwa!
Amina!
Humu kuna wengi wamepata idea za biashara na wakafanikiwa...Ki ukweli hapa hatuwezi kupata mawazo ya biashara..tunadanganyana.Biashara ni Siri ya mtu.Michongo haitolewi mitandaoni Hata siku moja.Ukiona mtu anakuambia biashara fulani inalipa,huyo hafanyi hiyo biashara.
mtaji wa hilo genge kuanzia genge lenyewe matunda mpk unaanza kuuza unahisi ni kiasi gani mkuu?Genge la matunda mchanganyiko ukipata sehemu sahihi ni biashara nzuri na inaludusha upesi
chauchoyoooo na kwetu usijeBiashara yangu ina copyright issues hivyo samahani jamani sitaitaja maana naifanya mwenyewe tu huku Zanzibar watu wengine bado hawajapata mechanism ya kucopy.
Na soon baada ya wao kucopy nahamia kwenye phase 2.
Mtanisamehe!
Mkuu kuna dada anitwa Queen of sheba unampata?Watu tunapotezana, biashara ya mtaji mdogo eti mtu anakwambia stationary kweliiiiii?!
Biashara ndogo ni za mitaji isoyozidi laki, na hiyo laki iwe isha cover mahitaji ya biashara vikorokoro vyote.
Mfano mzuri ni picha iliyosindikiza hii thread, kuuza mahindi.
Jiko 15,000
Mkaa 5000
Mahindi 15000
wavu 7000
nk nk 10000
Ukipga total hapo hata laki hufikishi. Hizo ndio biashara ndogo tunazotaka kusiona kwenye hii thread.
Mtu anakwambia alikua anabetisha anabetishia watu mpk mkeka wa laki 3 na ana mashine mbili hivi hiyo ni biashara ndogo kweli!?
Hebu tujue tofautisha biashara ndogo na Biashara za wenye pesa wanazozifanya kwa udogo.
Nategemea kukutana na wauza mishkaki humu
wauza mahindi
wauza pweza
wauza karanga
wauza maji ya kandoro
wauza skrepa
wauza chupa za maji
nk nk nk
Nategemea kukutana na watu wa aina hyo ila nyie wengine mnatupoteza tu hapa mna hela kabisa tena muache ita biashara zenu ndogo maana mitaji tu mliyowekeza hapo wenzenu tunaimezea mate.
Naomba waliofanya biashara anazozimaanisha mleta thread muendeleee kuteremsha mambo, nyie wengine kausheni tu Thread hiii nategemea iwe na nondo ambazo atae ingia apate hamasa ila sio nyie mnaotutajia biashara za mamilioni mnatuambia et ni ndogo.