Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,353
- 38,586
Ukiangalia mchuano unaoendelea kwenye kura za maoni za chama cha Demokratik na Repulikan ninadhani kuwa Rais ajaye wa Marekani atatoka kwenye chama cha Demokratik. Ama atakuwa ni Benni Sanders anayetumia sauti yake yenye ushawishi kuvuta wapiga kura wa Demokratik au ni Hilary Klinton anayejivunia Rekodi yake ya kiutendaji wakati akiwa ndani ya Seneti au akiwa Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani.