Ni bajeti ya ku-copy and ku-paste toka bajeti ya 1968............

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
................Kuna taarifa za kutoka vyanzo vya kiitelejensia kuwa bajeti ya serikali 2011/2012 ni bajeti iliyoamishwa toka bajeti ya serikali 1968/1969.Chanzo cha kuaminika toka serikalini kimedai kuwa ni mtindo wa serikali kucopy bajeti za miaka ya nyuma na kuziwakilisha bungeni.Hii inaweza kudhibitishwa na kauli za wabungeni baadhi ya kambi ya upinzani waliodai kuwa ni kawaida ya serikali ku-copy na ku-paste mambo bila kutoa ufafanuzi wa kina wa kile wanachosema labda kwa kuogopa hatua za kinidhamu nk...Kama hii ndio style ya serikali je,TUTAFIKA?
 
Back
Top Bottom