Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,488
- 908
Avatar hizi zimekamilika kwenye fani..
1. Hossam
jamaa ameifurisha baiskeli yake na ndizi-sijui mchaga huyo, kisha anaikokota kwa mikogo..asee
2. Rev sr Masanilo
View attachment 38825
Prefix ya jina lake ni Rev, nadhani akimanisha reveland.. ila picha ina kizee kimoja cha bush kilchokunywa miaka ya kufa mtu..lol
3. Zumbemkuu
mie mpaka leo sijiu hicho kiombaomba alikipata wapi?
4. Mnyamahodzo
sijui katoto ka watu maskini kale kameegemea ndoo kama kamtu kalikokataliwa na babaake kakatoa wapi? kananikumbusha enzi zile za shida ya maji, unakuta foleni ndefu sana, ili kuleta msisitizo na mtu asikupite unaweka katoto kama kasecurity flan na kukusogezea ndoo..
5. nditichia
michano.. mwenyewe anazuka kuwakilisha mistari, nadhani kuna uwezekano bange hajalikolezea hivyo akafunika uso kwa kitambaa ili soo imwondokee.. Bongo!?)
6.Saigon
.pamoja na
Dazu
Saigoni we saigoni na Dazu wako.. ondoeni hizo avatar zenu.. ohooo hujui siku hizi wanatembea na vya moto watu hao.. watawananihii..)
7.Rohombaya
Yaani Jina na Avatar vimeendana 100%
8. Vikwazo
kweli Vikwazo vya maisha. Dogo amekwazika, maisha shamchakachua, amekaa juu ya njia ya Chuma. Chombo kiko spidi kinakuja kwenye njia yake, yeye mawazo yako mbali sana, shakwazika na maisha vibaya sana.. ha ha haa
9. nditolo
wakwetu huyo ndo shemeji nini?
10.dhahabuinang'aa
ze igungaz
10. Kuna avatar ya misahani ya mipilau.. asee sijui ya nani vile.. inaogeshea na kuwakilisha vilivyo..
Embu nijuze zaidi ni avatar ya nani unaipenda na kwa nini unaipalilia