WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,233
Mimi nadhani tukubali kuwa Mhe. Augutine Lyatonga Mrema alikuwa na hata sasa bado yuko kwenye mipango ya nchi. Inahitaji fikra pevu kulijua hili...ila kwa ushabiki wa siasa wa juu juu au kwa kutaka kuwalaghai watu wepesi unaweza kumtumia kama ilivyo kwenye uzi huu. Lakini pia kwa maslahi mapama, sitawataja viongozi wengine waliokwenye mipango kama ya Mhe. Lyatonga.