Ni asili ya mwanamke ikitokea usishangae

Mkuu siyo wanawake wote! Unachotakiwa ni kuishi nao kwa principles zinazotakiwa.
 
Ni kweli asilimia mia moja ila huwezi ishi na mama yako mkwe hata ujiue .
Ndugu wa mume ni vivuruge .
Yaani acha tu so ndio hali halisi
 
Ukishataja mwanamke unamaana kila mwanamke akiwemo mama yako mzazi. Wote ni KE sababu hao wanaotenda wayaendao nao ni ke kama mama yako unless mama yako alizaliwa kama Bikra Maria mkingiwa Dhambi. Penda usipende kama ulivyosema ni jukwa huru, umetoa mawazo yako nami nimetoa yangu.
Your comment is too personal ila mi nishakuelewa tayari ulivyomaanisha ngoja nikupe ushindi.
 
Hawa watu sio wa kuonea huruma.

Lakini ni wanaume wachache sana wanaokuwaga na roho ngumu kwa wanawake,wanaume wengi tuna huruma sana kwa wanawake
 
Nadhani ni tabia ya mtu tu wala si kwamba wanawake wote wana hizo tabia binafsi nimeshashuhudia kwa macho yangu kabisa jamaa yangu mmoja hakufanikiwa kusoma ila kuna msichana walipendana enzi hizo mbali ya msichana kwao kuwa na uwezo mkubwa wa mali ila jamaa akawa anajitahidi vi daftari na pesa ndogo ndogo ila matumaini ya kuja kuishi naye akawa hana sanaaa .

Maajabu baada ya binti kupotezana na jamaa miaka kadhaa (nadhani advance na chuo) akarudi akiwa ameshapata kazi tena nzuri inayolipa pesa ndefu tu, aliporudi akamuomba jamaa amuoe yaani kama maigizo hivi jamaa haamini maana hata pesa ya mahari hana binti akagharamia kila kiti wakafunga ndoa japo familia yake haikukubaliana na hali.

Maajabu mengine jamaa anakuambia usiku wa ndoa alikuwa binti bado ana usichana wake ,Mungu aliwabariki mtoto mmoja wa kike ila jamaa hakuishi sanaa akafa na mpaka hivi sasa ninavyoongea binti hajaolewa kabisa though anachumbiwa sanaa ila hataki hata kusikia habari ya mwanaume.
Hadithi za kufarijiana,
 
Namba 5 nakataa
Sawa mkuu mabeste yule msanii kamuuguza mke wake mpaka akapona alivyopona mwanamke akaenda kwa jamaa mwingine akamkacha msela huo ni mfano tu mkuu na hyo namba tano ndio iliyonifanya niandike huu uzi kuna tukio lilitokea la kusikitisha sana huku mtaani wanawake kwakeli wanajisahau sana mda mwingine.
 
Hiyo haimaanishi kwamba upande wa pili hakuna anayefanya hvo,, mfano mzuri kipindi mwanamke ana ujauzito wengi huwa tunaenda kula nje
 
Your comment is too personal ila mi nishakuelewa tayari ulivyomaanisha ngoja nikupe ushindi.
How come personal wakati you can see the way you presented it is very generic. Umesema mwanamke hukusema wanawake wengine au fulani but mwanamke including yours period.
 
Nadhani ni tabia ya mtu tu wala si kwamba wanawake wote wana hizo tabia binafsi nimeshashuhudia kwa macho yangu kabisa jamaa yangu mmoja hakufanikiwa kusoma ila kuna msichana walipendana enzi hizo mbali ya msichana kwao kuwa na uwezo mkubwa wa mali ila jamaa akawa anajitahidi vi daftari na pesa ndogo ndogo ila matumaini ya kuja kuishi naye akawa hana sanaaa .

Maajabu baada ya binti kupotezana na jamaa miaka kadhaa (nadhani advance na chuo) akarudi akiwa ameshapata kazi tena nzuri inayolipa pesa ndefu tu, aliporudi akamuomba jamaa amuoe yaani kama maigizo hivi jamaa haamini maana hata pesa ya mahari hana binti akagharamia kila kiti wakafunga ndoa japo familia yake haikukubaliana na hali.

Maajabu mengine jamaa anakuambia usiku wa ndoa alikuwa binti bado ana usichana wake ,Mungu aliwabariki mtoto mmoja wa kike ila jamaa hakuishi sanaa akafa na mpaka hivi sasa ninavyoongea binti hajaolewa kabisa though anachumbiwa sanaa ila hataki hata kusikia habari ya mwanaume.
Wewe unatuletea habari za kumi kwa mmoja!! muwe mnaelewaga somo hapa tuna maana ya ke wengi ndivo tulivo...weye akili mu kichwaa niolewe na mtu wa chini kisa??sitaki taabu

na km roho yangu haija kupenda haijakupenda tu!! lkn mbona wanawake wa kizungu wa USA,UK France nk wanaolewa na me kutoka ulimwengu wa tatu tena wanishi kwao ke???

Miswahili mioga sana njoooni tuwaoe huku!! kenge nyie tatizo mnajihofia nikikohoa kidogo tu unajinyea kisa nimesoma! nina hela si uvumilie tu uishi na mimi ndo tabia yangu ilivyo? nende wapi sasa??

Ndo maana unawaroga mkae mtulie yaani mnaogopa ndoa ajili ya pesa zangu?? jinga kabisa mleta mada ungekuwa hapa ninge kupiga makofi sana!!

Mwanaume lazima uwe na amri ndani ya nyumba hata mie ke nikiwa na pesa!! ziibe ufanye Biashara halafu nikudai ulipe kwa uchungu!! halafu unikopeshe zingine nisikulipe halafu unanisamehe tu kwa uchungu!

Ndo maisha yalivyo huwezi acha kitu unakipenda/kitamu ...eti dume zima unazikimbia changa moto!...hata kupiga swaga tu uishi na ke huna?? ndo maana ke tunawapenda wakurya!! wanao tupiga mangumi tunamalizana!
 
Nadhani ni tabia ya mtu tu wala si kwamba wanawake wote wana hizo tabia binafsi nimeshashuhudia kwa macho yangu kabisa jamaa yangu mmoja hakufanikiwa kusoma ila kuna msichana walipendana enzi hizo mbali ya msichana kwao kuwa na uwezo mkubwa wa mali ila jamaa akawa anajitahidi vi daftari na pesa ndogo ndogo ila matumaini ya kuja kuishi naye akawa hana sanaaa .

Maajabu baada ya binti kupotezana na jamaa miaka kadhaa (nadhani advance na chuo) akarudi akiwa ameshapata kazi tena nzuri inayolipa pesa ndefu tu, aliporudi akamuomba jamaa amuoe yaani kama maigizo hivi jamaa haamini maana hata pesa ya mahari hana binti akagharamia kila kiti wakafunga ndoa japo familia yake haikukubaliana na hali.

Maajabu mengine jamaa anakuambia usiku wa ndoa alikuwa binti bado ana usichana wake ,Mungu aliwabariki mtoto mmoja wa kike ila jamaa hakuishi sanaa akafa na mpaka hivi sasa ninavyoongea binti hajaolewa kabisa though anachumbiwa sanaa ila hataki hata kusikia habari ya mwanaume.
mi ni aunt yang ni nesi, aliilewa na jamaa ambae hakubatik kusom, alikua anamnyanyasa mmewe mpk kun siku aunt alicombana na mtt wake sababu hiy hiy

saiz washachan
 
Hapo mama yako mzazi, bibi zako, shangazi zako na dada zako. Wote kundi moja na bora mama yako angekubana ukafia njiani kuliko kuzaliwa naye ukaona huo ubaya unaoshuhudia sasa. Pole sana.
umeongea ujinga huo, ko asiongee ukweli sababu walimzaa kwn wanao fanyiwa c babu, baba na kak zake.
 
Back
Top Bottom