King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 736
- 2,673
Kwa muda mrefu nimkuwa nikitumia application ya videoder kupakua vitu mtandaoni,lakini siku hizi naona kama inaniletea mauzauza mengi na hata nikitaka kudownload kitu inagoma.
Nimejaribu kufanya re-installation ya apk yake lakini tatizo bado ni lilelile.
Kwa yeyote mwenye kujua application nzuri kwa android phones,naomba msaada aisee maana kina nyakati nateseka.