Ni Application gani nzuri kwa ku-download vitu[Android phone]?

King Rabbit

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
736
2,672
Kwa muda mrefu nimkuwa nikitumia application ya videoder kupakua vitu mtandaoni,lakini siku hizi naona kama inaniletea mauzauza mengi na hata nikitaka kudownload kitu inagoma.

Nimejaribu kufanya re-installation ya apk yake lakini tatizo bado ni lilelile.

Kwa yeyote mwenye kujua application nzuri kwa android phones,naomba msaada aisee maana kina nyakati nateseka.
 
Nimejaribu kufanya re-installation ya apk yake lakini tatizo bado ni lile lile.

Kwa yeyote mwenye kujua application nzuri kwa android phones,naomba msaada aisee maana kina nyakati nateseka.
Hiyo hapo vidmate
 
Hii problem solved mpaka ni-mesahau madeni yangu yote.

Screenshot_2021-04-14-11-53-32-25.jpg
 
Kwa muda mrefu nimkuwa nikitumia application ya videoder kupakua vitu mtandaoni,lakini siku hizi naona kama inaniletea mauzauza mengi na hata nikitaka kudownload kitu inagoma.

Nimejaribu kufanya re-installation ya apk yake lakini tatizo bado ni lilelile.

Kwa yeyote mwenye kujua application nzuri kwa android phones,naomba msaada aisee maana kina nyakati nateseka.
Nlifikiri ni kwangu tu, videoder imenlzingua hadi nimeifuta.
 
Back
Top Bottom