Ni app gani nzuri ya presentation katika ipad ukiacha powerpoint

Ni app gani nzuri ya presentation katika ipad ukiacha powerpoint

Soki

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
1,303
Reaction score
281
Nahitaji application nzuri ya kufanyia kazi kama zinazofanywa na powerpoint. Naomba anayejua anifahamishe za free au za kununua katika app store.
Asante
 
Ooops kweli mkuu nimeiweka katika jukwaa lisilo lake. Mod ihamisheni. Samahani kwa usumbufu mlioupata
 
Back
Top Bottom