Ni app gani inatengeneza picha za aina hii?

N

Ahsanteh mkuu na hii pic inang'aa kipi hufanya hivi mkuu camera husika au kuna effect pale unapopiga unaitmia na htc m8 licha ya kupiga bokeh effect nayo inaweza kung'arisha picha hivo? Ahsanteh
hio ni camera yenyewe mkuu, kwa camera kama lumia 950 haiwezi fanana na m8, hivyo usitegemee kupata kitu kama hicho kwenye m8 labda version mpya za htc kama HTC U11,

click hapa kuona sample ya m8

https://i-cdn.phonearena.com/images/articles/168008-image/IMAG0249-1.jpg

ufocus2.png

bokeh2.png
 
Kwa simu unaweza ila sio kama mtu mwenye camera kubwa,unapopiga picha wewe chagua ifocus kwenye unachokitaka haswa so automatically itaweka blur kwenye vingineb
 
b0f0c77d948639cca6051bc0d5fe9166.jpg
79b1cc1314efa1ae0477f43960490a41.jpg
67485abafa69665306d69f31eeb6513a.jpg

Hizo nimepiga na iphone 6 plus,kikubwa kwa iphone unachagua ifocus wapi ila una hold kidogo hilo eneo yenyewe inaweka focus lock on basi vya kando vina blur,cheki tutorial ziko nyingi youtube kama u mpenzi wa kupiga picha sana kama mimi
 
248525f8a3c6710c061358f2fc86cdc0.jpg

Hii niliipiga na galaxy s6,so ni wewe na upigaji wako wa picha tu simu inaweza kwa kiasi kidogo
 
hio ni camera yenyewe mkuu, kwa camera kama lumia 950 haiwezi fanana na m8, hivyo usitegemee kupata kitu kama hicho kwenye m8 labda version mpya za htc kama HTC U11,

click hapa kuona sample ya m8

https://i-cdn.phonearena.com/images/articles/168008-image/IMAG0249-1.jpg

ufocus2.png

bokeh2.png

Asanteh mkuu! na vipi kushu hii simu HTC m8 upande was betri na hardware kiujumla maana nilinunua lg g2 kwa mtu nikakutana na tatizo kuheat sana hata kama simu siitumii na WiFi na bluetooth vilikuwa havifanyi kazi hivo vipi kuhusu hii simu HTC m8 nikichukua kwa MTU au unaweza nishauri brand IPI ambayo inafanana na hiyo naweza chukua
 
Tumia ( photo lab )
Hii ndio mwisho wa matatizo cheki hapo profile picha yangu nilivyo tengeneza.
 
inaitwa bokeh effect

simu za pureview za Nokia zina bokeh effect by default kupitia refocus.

pia simu za android zenye camera mbili zina bokeh effect pia,

kama huna vyote hapo juu unaweza tumia apps, zipo nyingi kwenye appstore na playstore just search hilo neno bokeh utazipata.

zipo apps ambazo ni camera apps yaani unaeka hio effect wakati wa kupiga, na zipo ambazo sio camera app unaeka hio effect kwa picha ambazo umeshapiga.
Aisee nielekeze hiyo setting mimi ni mtumiaji wa pureview nokia camera lakini hiyo option sijawahi ona kabisa
 
b0f0c77d948639cca6051bc0d5fe9166.jpg
79b1cc1314efa1ae0477f43960490a41.jpg
67485abafa69665306d69f31eeb6513a.jpg

Hizo nimepiga na iphone 6 plus,kikubwa kwa iphone unachagua ifocus wapi ila una hold kidogo hilo eneo yenyewe inaweka focus lock on basi vya kando vina blur,cheki tutorial ziko nyingi youtube kama u mpenzi wa kupiga picha sana kama mimi
Kwa sample ya hizi picha naona iphone bado yupo nyuma sana kwenye optical,image stabilization.
Nahisi nokia yangu ya 2014 inaipita hiyo iphone 6 kwa upande wa camera department
 
Asanteh mkuu! na vipi kushu hii simu HTC m8 upande was betri na hardware kiujumla maana nilinunua lg g2 kwa mtu nikakutana na tatizo kuheat sana hata kama simu siitumii na WiFi na bluetooth vilikuwa havifanyi kazi hivo vipi kuhusu hii simu HTC m8 nikichukua kwa MTU au unaweza nishauri brand IPI ambayo inafanana na hiyo naweza chukua
lg g2 haitakiwi iheat sana wala iwe na hayo matatizo, same kwa m8, simu za 2013/14 zote zenye sd800/801/805 zipo vizuri sana.

ukiona matatizo kama hayo ujue ni mtu tu katumia simu ameiharibu anakuuzia kimeo.

tatizo la m8 ni kuto kutengenezeka, sababu ni unibody, ila ni simu nzuri sana.

ukaaji chaji ni average, sio mzuri wala mbaya

gsmarena_002.jpg

pia ui ya htc ni nyepesi sana hivyo hakuna lag sana compare na oem wengine kama samsung.

angalia note 4 kwa hio budget yako, kama unaipata ni nzuri zaidi.
 
kwa hiyo mkuu hata nikitaka kubadiri battery haiwezekani au ikizingua tatizo lolote haitengenezeki mkuu?
 
yani kubadili battery au kutengeneza kitu ni hadi uichome simu ipate moto, ubandue kioo, utoe motherboard ndo upate battery, ilivunja rekodi ya kutotengemezeka, m8 na mwenzake m7.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
yani kubadili battery au kutengeneza kitu ni hadi uichome simu ipate moto, ubandue kioo, utoe motherboard ndo upate battery, ilivunja rekodi ya kutotengemezeka, m8 na mwenzake m7.
Mkuu uko vizuri sana kwenye mambo ya simu na vitu vinavyousiana navyo.
 
Back
Top Bottom