Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,812
- 40,419
Sijaona aliyetoswa labda ututajie.Wanazalishwa viongozi mafisadi kwa sababu kuna jalala la kuwatumbukiza kama hawabadiliki kulingana na misingi ya uongozi ya ccm

Unapozungumzia uchafu ulioko/uliokuwepo katika nchi hii huachi kuigusa ccm.Kuna wakati ukifuatilia mijadala ya vijana katika mitandao ya kijamii; utaona uwezo wetu wa kufanya uchambuzi wa kutosha ni mdogo katika siasa; uchumi na shughuli za kijamii. Imefikia wakati vijana kutaka kufananisha CCM na chadema bila kutambua mambo matano muhimu:-
Kuna mengi ambayo unaweza kuzungumzia kuhusu chadema na ccm. Katika mambo ya msingi wa kuongoza taifa chadema wanahitaji muda zaidi kujifunza kutoka vyama vingine vya kisiasa duniani ili kuleta changamoto kwa ccm chama ambacho kimejenga mizizi na hubadilika siku hadi siku kutegemea upepo wa kisiasa unavyoenda. Naomba kuwasilisha.
- Vyama hivi viwili vinatofauti za itikadi na miongozo ya kiutendaji. CCM ni chama kilicho na itikadi ya wananchi. Ni chama kinachoamini itikadi ya wananchi hususani wa hali ya chini. CCM kuanzia kuanzishwa kwake kilijikita kutetea usawa, maslahi ya wanyonge na siasa za kiustarabu. Chadema ni chama ambacho kimejikita katika itikadi ya wananchi katika misingi ya kiuharakati. Ndio maana Lowasa alipoingia chadema alikuwa anawasihi viongozi wa chadema kuacha uwanaharakati na kujikita na siasa za kisayansi. Kwa msingi huo utagundua chadema na CCM ni vyama vyenye maslahi tofaut;
- Mfumo wa demokrasia. CCM ni chama ambacho kimekomaa katika mfumo wa demokrasia. Ni chama ambacho kinautaratibu unaoeleweka uliowekwa kwa ajili ya kusimamia demokrasia. Ni chama ambacho kimepitia katika vuguvugu za mabadiliko mbalimbali ya kidemokrasia ukilinganisha na chadema. Chadema ni chama chenye mwenyekiti almost tumuite wakudumu ama mkurunzinza. Chadema kinajinasibu kuwa chama cha demokrasia lakini utendaji wake hauendani kabisa. Mgombea urais anotoka huku leo kesho anatangazwa chadema.
- Uimarishaji wa chama. CCM ni chama kilichojiimarisha katika ngazi zote. ni chama ambacho kiko karibu sana na wananchi. kina matawi katika vitongoji na mitaa. Hii itaichukua chadema miaka kadhaa kufikia hivyo.
- Matumizi bora ya rasilimali. CCm ndio chama pekee chenye mustakabali wa kuthamini kutambua rasilimali zake zote na kuimarisha usimamiaji kwa manufaa ya chama. Ruzuku za chama hazina migogoro ukilinganishwa na chadema ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kuwa na mashaka na fedha za ruzuku za chama.
- Kujenga vijana katika uongozi na kusimamia maendeleo ya vijana katika siasa safi. CCM ni chama imara katika kujenga vijana wenye mustakabali wa kushika hitama ya uongozi bora katika taifa hili. CCM hupika viongozi wa badae na hueshimiana katika hilo. CCm inahazina ya viongozi wengi vijana. Chadema ni chama ambacho ingawaje kinatambua kuendeleza vijana lakini kinashindwa kuwasimamia vijana wasimame katika mustakabali wa maendeleo ya rasiliamali ya chama. Wegi wao hukatishwa tamaa na viongozi wao wa juu wanaoteua vijana katika uongozi kwa maslahi yao.
Mkuu hiyo ni saccos ya genge la wahuniKuna wakati ukifuatilia mijadala ya vijana katika mitandao ya kijamii; utaona uwezo wetu wa kufanya uchambuzi wa kutosha ni mdogo katika siasa; uchumi na shughuli za kijamii. Imefikia wakati vijana kutaka kufananisha CCM na chadema bila kutambua mambo matano muhimu:-
Kuna mengi ambayo unaweza kuzungumzia kuhusu chadema na ccm. Katika mambo ya msingi wa kuongoza taifa chadema wanahitaji muda zaidi kujifunza kutoka vyama vingine vya kisiasa duniani ili kuleta changamoto kwa ccm chama ambacho kimejenga mizizi na hubadilika siku hadi siku kutegemea upepo wa kisiasa unavyoenda. Naomba kuwasilisha.
- Vyama hivi viwili vinatofauti za itikadi na miongozo ya kiutendaji. CCM ni chama kilicho na itikadi ya wananchi. Ni chama kinachoamini itikadi ya wananchi hususani wa hali ya chini. CCM kuanzia kuanzishwa kwake kilijikita kutetea usawa, maslahi ya wanyonge na siasa za kiustarabu. Chadema ni chama ambacho kimejikita katika itikadi ya wananchi katika misingi ya kiuharakati. Ndio maana Lowasa alipoingia chadema alikuwa anawasihi viongozi wa chadema kuacha uwanaharakati na kujikita na siasa za kisayansi. Kwa msingi huo utagundua chadema na CCM ni vyama vyenye maslahi tofaut;
- Mfumo wa demokrasia. CCM ni chama ambacho kimekomaa katika mfumo wa demokrasia. Ni chama ambacho kinautaratibu unaoeleweka uliowekwa kwa ajili ya kusimamia demokrasia. Ni chama ambacho kimepitia katika vuguvugu za mabadiliko mbalimbali ya kidemokrasia ukilinganisha na chadema. Chadema ni chama chenye mwenyekiti almost tumuite wakudumu ama mkurunzinza. Chadema kinajinasibu kuwa chama cha demokrasia lakini utendaji wake hauendani kabisa. Mgombea urais anotoka huku leo kesho anatangazwa chadema.
- Uimarishaji wa chama. CCM ni chama kilichojiimarisha katika ngazi zote. ni chama ambacho kiko karibu sana na wananchi. kina matawi katika vitongoji na mitaa. Hii itaichukua chadema miaka kadhaa kufikia hivyo.
- Matumizi bora ya rasilimali. CCm ndio chama pekee chenye mustakabali wa kuthamini kutambua rasilimali zake zote na kuimarisha usimamiaji kwa manufaa ya chama. Ruzuku za chama hazina migogoro ukilinganishwa na chadema ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kuwa na mashaka na fedha za ruzuku za chama.
- Kujenga vijana katika uongozi na kusimamia maendeleo ya vijana katika siasa safi. CCM ni chama imara katika kujenga vijana wenye mustakabali wa kushika hitama ya uongozi bora katika taifa hili. CCM hupika viongozi wa badae na hueshimiana katika hilo. CCm inahazina ya viongozi wengi vijana. Chadema ni chama ambacho ingawaje kinatambua kuendeleza vijana lakini kinashindwa kuwasimamia vijana wasimame katika mustakabali wa maendeleo ya rasiliamali ya chama. Wegi wao hukatishwa tamaa na viongozi wao wa juu wanaoteua vijana katika uongozi kwa maslahi yao.
Chacha wangwe alihoji wenye saccos kujilipa madeni yasiyojulikana, kilichofuata ni historia.Mkuu hiyo ni saccos ya genge la wahuni
Vijana wengi mnashindwa kutambua taifa limetoka wapi na mahali gani tumefika. Mi nakumbuka na nimejifunza mambo mengi yaliyofanyika kwa serikali hii ya CCM. Tanzania ukiambiwa kuhusu masuala ya miundombinu unajua mikoa inavyounganishwa na mikoa mingine kwa barabara za lami, ninajua serikali hii ya ccm imesababisha taifa hili kuwa na umoja na amani, hatubaguani wala kuzaraulina ingawaje tuna makabila mengi sana. Kuhusu maendeleo; mataifa mengine wamefikia hapo kwa miaka mingi.Unapozungumzia uchafu ulioko/uliokuwepo katika nchi hii huachi kuigusa ccm.
Ccm ni chama cha hovyo sana kilicho acha kusimamia misingi ya uanzishwaji wake na kuwa chama ambacho kinaenenda kinyume nyume na misingi ya uanzishwaji wake
Unapozungumzia umasikini, ujinga na maradhi lazima uihusishe ccm moja kwa moja.
Unapozungumzia ukosefu wa huduma bora za kijamii unaigusa ccm moja kwa moja.
Leo hii tunaona mauaji ya kisiasa ambayo chanzo chake ni siasa chafu na za kijinga zilizoasisiwa na ccm.
Maneno ya mwenyekiti wa ccm taifa kuwa anashangaa kuona wapinzani wa serikali (wasaliti kwa tafsiri yake) kuwa wakiendelea ku survive, kauli ambayo inadhihirisha namna ccm ilivyogeuka kutoka kwenye misingi ya haki hadi kuwa chama kinachoamini kinyume ya neno haki.
Kuitetea ccm kwa sasa yahitaji uwe na akili tegemezi ambayo huambatana na ujinga, ushabiki wa kimihemko na roho mbaya ya kwanini.
Ccm na mkoloni utofauti wake ni rangi za ngozi zao tu.
Hili ndilo jibu kwa hoja nzito kiasi hiki?NONSENSE!!!!!!!!!
My likes AmigoCCM ni kundi flani la matapeli wanaopambana kubaki madarakani ili waendelee kuitafuna nchi. Wao ndio chanzo cha umasikini na shida kwenye nchi hii!
CHADEMA ni kikundi flani cha wahuni wenye tamaa ya mali na madaraka, wanaotumia umasikini na hali ngumu ya maisha ya wa Tanzania kama mtaji wa kuiangusha CCM!
Sadly, we have to choose between the two devils!
Unaongelea ushafiki badala ya factVijana wengi mnashindwa kutambua taifa limetoka wapi na mahali gani tumefika. Mi nakumbuka na nimejifunza mambo mengi yaliyofanyika kwa serikali hii ya CCM. Tanzania ukiambiwa kuhusu masuala ya miundombinu unajua mikoa inavyounganishwa na mikoa mingine kwa barabara za lami, ninajua serikali hii ya ccm imesababisha taifa hili kuwa na umoja na amani, hatubaguani wala kuzaraulina ingawaje tuna makabila mengi sana. Kuhusu maendeleo; mataifa mengine wamefikia hapo kwa miaka mingi.
Lukindo..,
CCM is a dying hoarse...
Ushabiki mikoa kuunganishwa kwa barabara za lami ama nini?Unaongelea ushafiki badala ya fact
Kama jamaa yangu yupo mwanza bila kudra za mungu tusingekua nae hivi sasa, kosa kuhoji matumizi ya fedhaChacha wangwe alihoji wenye saccos kujilipa madeni yasiyojulikana, kilichofuata ni historia.
Maybe kwa miaka mingi kukosa ofisi ya hadhi ya chama kikuu cha upinzani katika taifa hiliAmeshasema sifa ni nyingi hawezi kutaja zote, inawezekana na hiyo imo.
Kabisa. [emoji817] crap.NONSENSE!!!!!!!!!
Soma tena uelewe vigezo vilivyotumiwa kulinganisha. Maybe utaelewaNi kweli kulinganisha chama kinachoungwa mkono na wananchi kwa kujenga hoja na chama kinachotumia bunduki, mabomu, mapangà na nondo kujibu hoja za wapinzani wake ni utaahira mkubwa.
Kamanda njoo huku kuna watumiaji wa Shisha
Uchambuzi uliojaa hoja za kipuuzi.Kuna wakati ukifuatilia mijadala ya vijana katika mitandao ya kijamii; utaona uwezo wetu wa kufanya uchambuzi wa kutosha ni mdogo katika siasa; uchumi na shughuli za kijamii. Imefikia wakati vijana kutaka kufananisha CCM na chadema bila kutambua mambo matano muhimu:-
Kuna mengi ambayo unaweza kuzungumzia kuhusu chadema na ccm. Katika mambo ya msingi wa kuongoza taifa chadema wanahitaji muda zaidi kujifunza kutoka vyama vingine vya kisiasa duniani ili kuleta changamoto kwa ccm chama ambacho kimejenga mizizi na hubadilika siku hadi siku kutegemea upepo wa kisiasa unavyoenda. Naomba kuwasilisha.
- Vyama hivi viwili vinatofauti za itikadi na miongozo ya kiutendaji. CCM ni chama kilicho na itikadi ya wananchi. Ni chama kinachoamini itikadi ya wananchi hususani wa hali ya chini. CCM kuanzia kuanzishwa kwake kilijikita kutetea usawa, maslahi ya wanyonge na siasa za kiustarabu. Chadema ni chama ambacho kimejikita katika itikadi ya wananchi katika misingi ya kiuharakati. Ndio maana Lowasa alipoingia chadema alikuwa anawasihi viongozi wa chadema kuacha uwanaharakati na kujikita na siasa za kisayansi. Kwa msingi huo utagundua chadema na CCM ni vyama vyenye maslahi tofaut;
- Mfumo wa demokrasia. CCM ni chama ambacho kimekomaa katika mfumo wa demokrasia. Ni chama ambacho kinautaratibu unaoeleweka uliowekwa kwa ajili ya kusimamia demokrasia. Ni chama ambacho kimepitia katika vuguvugu za mabadiliko mbalimbali ya kidemokrasia ukilinganisha na chadema. Chadema ni chama chenye mwenyekiti almost tumuite wakudumu ama mkurunzinza. Chadema kinajinasibu kuwa chama cha demokrasia lakini utendaji wake hauendani kabisa. Mgombea urais anotoka huku leo kesho anatangazwa chadema.
- Uimarishaji wa chama. CCM ni chama kilichojiimarisha katika ngazi zote. ni chama ambacho kiko karibu sana na wananchi. kina matawi katika vitongoji na mitaa. Hii itaichukua chadema miaka kadhaa kufikia hivyo.
- Matumizi bora ya rasilimali. CCm ndio chama pekee chenye mustakabali wa kuthamini kutambua rasilimali zake zote na kuimarisha usimamiaji kwa manufaa ya chama. Ruzuku za chama hazina migogoro ukilinganishwa na chadema ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kuwa na mashaka na fedha za ruzuku za chama.
- Kujenga vijana katika uongozi na kusimamia maendeleo ya vijana katika siasa safi. CCM ni chama imara katika kujenga vijana wenye mustakabali wa kushika hitama ya uongozi bora katika taifa hili. CCM hupika viongozi wa badae na hueshimiana katika hilo. CCm inahazina ya viongozi wengi vijana. Chadema ni chama ambacho ingawaje kinatambua kuendeleza vijana lakini kinashindwa kuwasimamia vijana wasimame katika mustakabali wa maendeleo ya rasiliamali ya chama. Wegi wao hukatishwa tamaa na viongozi wao wa juu wanaoteua vijana katika uongozi kwa maslahi yao.
Uchambuzi uliojaa hoja za kipuuzi.