Ni akili mbovu kufananisha CCM na Chadema

Ni akili mbovu kufananisha CCM na Chadema

Sifa nyingine ambayo wengi huogopa kuitaja: Chadema ni chama chenye mlengo wa kikabila. Ni chama cha wachaga na ndiyo maana huwezi kuwa Kiongozi ktk ngazi fulani muhimu kama ya uenyekiti wa chama Taifa, vinginevyo unahatarisha shingo lako. Kamuulize mtoto wa chacha. Hatukitaki chama cha namna hii hapa Tz. Wakipeleke huko kwa "manyang'au" waliozoea kuchinjana. Ala!
Bob Makani mwenyekiti wa pili wa cdm alikuwa mchaga? Na Aman Kaburu aliyekuwa katibu mkuu na Slaa ni wachaga! Acha kuleta hoja na kikabila hapa hazisaidii kujenga umoja wa kitaifa.
 
Ingekuwa kweli isingekuwa inategemea polisi na wakurugenzi ktk uchaguzi.
 
Sifa nyingine ambayo wengi huogopa kuitaja: Chadema ni chama chenye mlengo wa kikabila. Ni chama cha wachaga na ndiyo maana huwezi kuwa Kiongozi ktk ngazi fulani muhimu kama ya uenyekiti wa chama Taifa, vinginevyo unahatarisha shingo lako. Kamuulize mtoto wa chacha. Hatukitaki chama cha namna hii hapa Tz. Wakipeleke huko kwa "manyang'au" waliozoea kuchinjana. Ala!
Chama chenye mlengo wa kikabila na kinaendelea kufanya harakati zake za kisiasa kwa mujibu wa sheria za nchi ni kipimo cha ccm kukosa sifa za kuwa chama tawala.

Chadema kama kweli ni chama cha kikabila na bado sheria haijachukua mkondo wapi, basi serikali iliyopo madarakani haijui/imeshindwa kutimiza wajibu wake na haipaswi kutetewa kwa lolote maana haina sifa na vigezo vya uwepo wake
 
Back
Top Bottom