Ni aina gani ya watu, hatari zaidi katika jamii?

Ni aina gani ya watu, hatari zaidi katika jamii?

Asie timiza majukumu yake ni MTU wakuchukiwa sana katika jamii.

mafisadi hayana rangi
 
Hakuna anayefurahia mafanikio ya mwenzake...
Mtu anaweza kukusifu usoni, ila moyoni anakutafutia kisasi akuangishe...


Cc: mahondaw
Mkuu si kweli kwamba kila binadamu ni hatari kwa binadamu mwingine.

Pia sioni faida anayopata mtu anayechukia mafanikio ya mtu mwingine sana sana huyo mtu ataishia kupata maradhi yasiyoambukizwa.

Binafsi nikiona mwenzangu amefanikiwa napenda kumtumia kama kioo cha kufikia pale alipofikia.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
I hate a Liar more than I hate Thief...

A Thief is only after my Salary...

A Liar is after my Reality...


 
Back
Top Bottom