Ni aina Gani ya Laptop ambayo ni nzuri ?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,373
Namaanisha Quality and Quantity amabayo inahimili mikiki yote ?
Kwa sasa naona kuna aina kibao
nikianza na :-
Dell
Toshiba
HP
Acer
Beng
na nyingine nyingi!
 
angalia specs na battery life ndo cha muhim...ila kama una uwezo nunu Macbook Pro Air...if u r nt comfortable with OS X u cn install Win 7.
 
angalia specs na battery life ndo cha muhim...ila kama una uwezo check Macbook Pro Air...if u r nt comfortable with OS X u cn install Win 7.
 
Kwa majina tu yote wanazalisha laptop nzuri, kama unataka laptop ya kazi heavy duty basi unatakiwa uangalie iwe na powerful processor and plenty of memory. Hapa sasa unazungumzia bajeti yako....
Kwa ufupi angalia haya:
*Processor iwe si chini ya 2 GHz au zaidi
*memory at least 2GB au zaidi ni bora
*Usb 2.0 or 3.0 (new vers) ports, HDMI port, Firewire port
*Card reader (multi)
*DVD Rewriter/BlueRay?
*wireless b/g/N
*Graphic card at least 512 MB
*Hard drive (itategemea unahifadhi kiasi gani) 100 gb sio mbaya/ si muhimu sana kua na HD kubwa kwani unaweza kusave kazi zako kwenye CD/DVD it's more safer
*Screen size at least 15"
*Battery: how long they last especially ikiwa unafanya kazi zako outdoor
*Weight ya laptop if this matters to you, mengine ni mizigo
*looks sometimes not always ?
*Operating system ie windows 7(32bit or 64bit) I suggest 64bit
 
Kwa sisi ambao display ni pre-requisite, then go for Toshiba yenye Tru Bright, memory 2gb or more, the rest will come by default
 
kama unaweza kuwa na cash ya kutosha ..siyo ya mboga chukua SAMSUNG APPLE.:)
 
Pia inategemea unaitaka kwa matumizi gani: Kama ni kwa gaming, web surfing, etc.

Na pia wewe ni mtumiaji wa aina gani: Beginner, intermediate, au advanced (meaning what sorts of things you need your lappy to be able to do)
 
Kwa majina tu yote wanazalisha laptop nzuri, kama unataka laptop ya kazi heavy duty basi unatakiwa uangalie iwe na powerful processor and plenty of memory. Hapa sasa unazungumzia bajeti yako....
Kwa ufupi angalia haya:
*Processor iwe si chini ya 2 GHz au zaidi
*memory at least 2GB au zaidi ni bora
*Usb 2.0 or 3.0 (new vers) ports, HDMI port, Firewire port
*Card reader (multi)
*DVD Rewriter/BlueRay?
*wireless b/g/N
*Graphic card at least 512 MB
*Hard drive (itategemea unahifadhi kiasi gani) 100 meg sio mbaya/ si muhimu sana kua na HD kubwa kwani unaweza kusave kazi zako kwenye CD/DVD it's more safer
*Screen size at least 15"
*Battery: how long they last especially ikiwa unafanya kazi zako outdoor
*Weight ya laptop if this matters to you, mengine ni mizigo
*looks sometimes not always ?
*Operating system ie windows 7(32bit or 64bit) I suggest 64bit

Mkuu, hivi 100meg ndy 100mb? au macho yangu hayaoni vzr!!!!
 
kama unaweza kuwa na cash ya kutosha ..siyo ya mboga chukua SAMSUNG APPLE.:)
Dah! kwli mambo yamekuwamengi sku hz, hii sijaiskia kabisa! hebu nipe somo kidogo: hii inatengenezwa wapi?....HONGKONG?
Ikibidi weka na picha kabsaa, maana mm ni mgumu wa kuelewa bila mifano!
 
Namaanisha Quality and Quantity amabayo inahimili mikiki yote ?
Kwa sasa naona kuna aina kibao
nikianza na :-
Dell
Toshiba
HP
Acer
Beng
na nyingine nyingi!
Quality and Quantity?..dah umenitoa! Na unapoongelea kuhimili mikiki yote una maana gani, unafanya kazi za graphics sana, unafanya kazi za migodini "unataga rugged?"

Ungeainisha matumizi yako ndy ingekuwa vizuri kwa wataalam kukushauri. Hivyo ulivyoiweka ni sawa na kuuliza: "Ni aina gani ya gari ambayo ni nzuri" Teh teh
 
Toshba is my choice of brand for latop. So napendekeza hiyo
Lakini kama una mkwanja wa kutosha tafuta laptop zinaitwa Asus. Japo sijawai kuzitumia nimesoma reviews za watu mbali mbali ni laptop bora lakini bei yake kwangu mtoto wa mkulima haiwezi kuwa choice.

Nimeshatumia Toshiba, HP na IBM (used) Pamoja na kusoma review za watu mbali mbali na kufanya support ya laptop kam Dell,Acer nakushauri Chukua Toshiba.

IBM pia laptop zao ni imara lakini nadhani bei yao nao kidogo mhhh . But kama salary slip yako niya UN haiwezi kuwa shida. Teh teh teh

HInx6 said:
angalia specs na battery life ndo cha muhim...ila kama una uwezo nunu Macbook Pro Air...if u r nt comfortable with OS X u cn install Win 7.

Nadhani unakosea kumwambia angalie specs tu na bettry life tu.

Anchotakiwa ni

  • kuangalia laptop yenye respected brand,( HP,Toshiba, IBM ,Acer, etc)
  • kusoma review za watumiaji wa product fulani kujua wana commet gani nzuri na mbaya
  • Kujua kama kuna makampuni karibu na alipo yanatoa support na spare parts ikitokea tatizo. za laptop fulani
  • na Specs .kama ni kwa matumizi ya nyumbani na ndani bettery sio factor muhimu sana.
NB:
Unaweza kukuta kuna laptop ina 80 GB ni bora kuliko yenye 150 GB after all kwa nini uweke data zako zote kwenye laptop badala ya kuwa na extenal HDD.
 
Habari,
Swali lako limekuwa hasa kama unataka brand gani ya laptop ambayo ni nzuri.

1.Kama ni kwa ajili ya ofisini chukua Toshiba,
2.kama kwa ajili ya multimedia chukua HP,
3.Kama unaitaji kwa ajili ya perfomance chukua Dell
4.Kama ni kwa ajili ya pure game chukua Alienware
5.Kama ni kwa ajili ya udogo chukua sony Vaio with solid state hard disk SSD
6.Kama hutaki Windows chukua apple

Hayo ndio maoni yangu.
 
Unaweza kutoa sababu kwa nini unapendekeza

  • Toshiba kwa ajili ya ofisi na sio HP, Dell au Alienaware ,etc. Na je kama anataka kwa ajili ya nyumbani ipi inafaa ?
  • Ni multmedia features gani a mbazo HP inazo ambazo Toshiba, dell Acer,Asus,Sony etc hazina
  • Kwa nini Alienware inafaa kwa pure game na sio Asus, Toshiba, HP au Sony
  • Ni udogo kiasi gani Sony Via inao kuzidi zingine au ulimaanisha kwa muonekano wenye mvuto yaani just Beatiful look
 
Nawashukuru sana wapendwa kwa advice zenu , ni kazi za field na ofisini zinazohitaji ku-install software's kibao
Naweza kufanya uchaguzi wangu sasa kupitia majibu yenu
 
Back
Top Bottom