PreGE2025 Ni aibu! Wasanii walioalikwa kwenye mkutano wa CCM hawajui hata ajenda zilizojadiliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Kwenye mkutano wa Chama Cha Mapinduzi uliofanyika tarehe 29 na 30 Mei, 2025 ulihudhuriwa na wasanii mbalimbali ambao waliulizwa ajenda zilizojadiliwa kwenye mkutano huo, lakini cha kushangaza hawafahamu kitu chochote majibu yao inazilisha kinawapeleka kuchukua pesa tu!

Sasa mtu kama Nenga kechekesha jana ukimuuliza CCm atakacho kwambia kamuona samia
 
Hao wanajua Ku create Content tu Hawajui hata Mustakabali wa Taifa letu
 
Kwenye mkutano wa Chama Cha Mapinduzi uliofanyika tarehe 29 na 30 Mei, 2025 ulihudhuriwa na wasanii mbalimbali ambao waliulizwa ajenda zilizojadiliwa kwenye mkutano huo, lakini cha kushangaza hawafahamu kitu chochote majibu yao inazilisha kinawapeleka kuchukua pesa tu!

View attachment 3354923
Hao walienda kufirana tu huko Dodoma, idadi kubwa ya hawa wasanii wenye majina ni mashoga maana moja ya masharti ya kujiunga na hizi secret societies zinazowapa ukwasi usio na maelezo.
 
Kwenye mkutano wa Chama Cha Mapinduzi uliofanyika tarehe 29 na 30 Mei, 2025 ulihudhuriwa na wasanii mbalimbali ambao waliulizwa ajenda zilizojadiliwa kwenye mkutano huo, lakini cha kushangaza hawafahamu kitu chochote majibu yao inazilisha kinawapeleka kuchukua pesa tu!

View attachment 3354923
Muhimu ni kura zao jao mabwege, kujua au kutokujua kwa chawa haina umuhimu.
 
Hivi huwa wanaenda kwa nauli zao au wanalipiwa...
Angalau waimbaji uwepo wao unaweza ku-entertain wajumbe Mfano TOT au akina hamonaize....hawa hupewa jukwaa

Sasa hawa wengne, mfano waigizaji wa tamthiliya ya Jua kali walifuata nini.
 
Mc pilipili anautaka ubunge wa Bahi,afu hajui hata agenda za mikutano ya chama chake?
 
Kwenye mkutano wa Chama Cha Mapinduzi uliofanyika tarehe 29 na 30 Mei, 2025 ulihudhuriwa na wasanii mbalimbali ambao waliulizwa ajenda zilizojadiliwa kwenye mkutano huo, lakini cha kushangaza hawafahamu kitu chochote majibu yao inazilisha kinawapeleka kuchukua pesa tu!

View attachment 3354923
Hawa ndiyo wasanii wa Tanzania, kichwani ni ziro kabisaa. Kwa kweli CCM inahaibisha hii nchi kwa wenzetu majirani, hivi unaokotaje watu ili mardi tu wajaze ukumbi wakati wala hawajuwi wanafuata nini huko zaidi ya kuliwa na wabunge wenzao na kujiuza?
 
Mtu kama Dotto magari anajua hata kirefu cha ccm ni nini?
Alinichekesha mwaka jana pale Kino, alikuwa anakikashifu sana chama na kukiita Chama Cha Mafuska, eti leo hii kawa mjumbe wa mkutano mkuu wa Chama hicho, hii nchi ina watu wasiojitambua kwa kweli.
 
Back
Top Bottom