Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,272
- 34,247
Hii inashangaza sana.
Inakuaje wanafunzi wa vyuo vikuu wamekaa tu nyumbani na hawaendelei na masomo kisa korona!
Hii inawezekanaje?
Mnashindwa hata kufanya "online sessions"?
Yani prof yuko nyumbani kwake ana host kipindi online na wanafunzi wote wanafundishwa wakiwa majumbani kwao?
Yani mwanafunzi wa chuo kikuu yuko nyumbani anasema wataendelea kusoma baada ya korona kuisha! Je isipoisha?
Muda unaenda, je huu muda mta ufidia vipi?
Hii ni aibu kwa vyuo vikuu Tanzania!