Ni aibu kwa Serikali kwa Mashirika ya Umma karibu yote kupata hasara

Maigizo ya Magufuli kupewa faida ya gawiwo na mashirika ya umma ndio mnayaona sasa.

Kenya airways wametangaza kupata faida mwaka huu baada ya kupata hasara Kwa miaka 7 mfululizo, financial reports hazitaki siasa.
Magufuli amekuda 2021 hadi leo miaka mitatu bado ndo anaidai apewa gawio
 
Kwa modal ya ATCL haiwezi pata faida kamwe labda waumize watu.

Kwa ndege 14 walizo nazo ATCL ilitakiwa ipunguze bei na kuongeza miruko, wangeweka bei kama za Fastjet hakika ndege za Mwanza,Mbeya, KIA, Dodoma zingekuwa zinapishana.

Tatizo la haya mashirika ni kuwa mishahara ya wafanyakazi hulipwa na serikali, yangekuwa yanajitegemea kutokana na mapato yao hakika yangepunguza wafanyakazi na kupata faida.

Serikaliisiwalipie mishahara wajitegemee tuone kama watafanya upuuzi
Umeongea point 100% maana nilitaka kusema haya ndio nikapitia comment yako. Swali la kujiuliza hasara inatokea wapi mfano watuambia ATCL hasara kwa maana matumizi makubwa kuliko mapato, tujue mishahara inalipwa toka wapi? serikalini? au mapato yao kama ni mapato yao tuambiwe hasara ni mishahara au gharama za operation za ndege sababu kutwa ziko ardhini faida itatoka wapi. weka bei ndogo uvutie wateja wengi ili mtu avutiwe na bei ndogo na ndege zitakuwa angani muda wote. Kama hasara mishahara hapo watu ni wengi kuliko mahitaji ndio raha ya private sector, kukiwa na hasara wa address inatoka wapi wanachukuwa hatua.
 
Just imagine yaani TTCL kutoka Kupata faida Hadi Kuzalisha Hasara yet bodi zipo na CEO yupo harafu Serikali Inatumika Kodi za Maskini kwenda kuwalipa mishahara.

Huu upuuzi ukome,kama hawawezi pata faida badilini sheria Ili hayo Mashirika yawe Kwa Ajili ya Huduma Kwa Umma.

Ni aibu Kwa Mashirika karibu yote ya Umma kuingiza hasara
ATCL
TRC
Posta
Benki ya Uwekezaji nk
TanOil
Dart nk

My Take
Viongozi oneni aibu na wahusika wawajibishwe

----
Ripoti ya mwaka wa fedha 2022/2023 imeeleza kuwa taasisi za umma zinazofanya biashara zimepata hasara.

Akikabidhi ripoti iliyokaguliwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino, Dodoma, siku ya Alhamisi asubuhi, CAG Charles Kichere alisema ofisi yake inaelewa juhudi za serikali za kuboresha utendaji wa taasisi zake zinazopata faida lakini alisisitiza kuwa dhana ya utawala bora inapaswa kufuatwa.

Kulingana na ripoti ya CAG, katika mwaka wa 2022/2023, ATCL ilipata hasara ya jumla ya bilioni 56.64/-, ikiongezeka kutoka bilioni 35.25/- iliyoripotiwa kipindi kama hicho.

Aidha, alitaja Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kama kampuni ya umma nyingine ambayo ilirekodi hasara ya milioni 894/- katika kipindi hicho hicho.

Hata hivyo, inaonekana kampuni ya mawasiliano imeboresha utendaji wake kwani hasara imepungua kwa asilimia 94 kutoka bilioni 19.32/- iliyoripotiwa katika kipindi kilichotangulia.

Aidha, Shirika la Reli Tanzania (TRC) liliripoti hasara ya bilioni 100.70/-.

Zaidi ya hayo, ripoti ya CAG pia ilifunua kwamba Tanzania National Oil (TANOIL) ilipata hasara ya bilioni 76.56/- katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiongezeka kwa asilimia 68.72 ikilinganishwa na kipindi kama hicho.

Shirika la Posta Tanzania (TPC) lilipata hasara ya bilioni 1.34/- katika mwaka wa fedha wa 2022/23.
Jana tulikuwa tunabishana na ww mie nikasema ngoja mie nasubili repot ya CAG TU ndio nijue kweli SAMIA ANASABABU YA KUMWAMINI TENA AU NI TRASH TU
ONA SSA AIBU KUBWA YUPO TU HANA SAUTI NA HAWEZ KUSEMA ANACHEKELEA TU
 
Viongozi wanasafiri kilasiku hawafatilii mashirika... Ilipaswa Kila robo MWAKA Baraza la mawaziri lijue mwenendo wa mashirika makubwa na marekebisho yafanyike mara inapobidi!!
Sasa mawaziri wamekalia kumsifuuu rais hku nchi inaingia mahasara ya mabilioni!!!.
WAHUNI watakuja watakuambia siyo hasara ni taarifa zilikosekana!!
 
Umeongea point 100% maana nilitaka kusema haya ndio nikapitia comment yako. Swali la kujiuliza hasara inatokea wapi mfano watuambia ATCL hasara kwa maana matumizi makubwa kuliko mapato, tujue mishahara inalipwa toka wapi? serikalini? au mapato yao kama ni mapato yao tuambiwe hasara ni mishahara au gharama za operation za ndege sababu kutwa ziko ardhini faida itatoka wapi. weka bei ndogo uvutie wateja wengi ili mtu avutiwe na bei ndogo na ndege zitakuwa angani muda wote. Kama hasara mishahara hapo watu ni wengi kuliko mahitaji ndio raha ya private sector, kukiwa na hasara wa address inatoka wapi wanachukuwa hatua.
Hasara ya ATCL wanajitakia wenyewe, huwezi kuwa na ndege 14 ukaajiri marubani 124.

Huwezi kuwa shirika la ndege unakatidha safari kisa tu Waziri kachelewa au Ndege imeenda kumpeleka Rais Zanzibar.

Hilo shirika linalelewa ndo maana haliwezi pata faida, likiachwa lijitegemee kama Vodacom huwezi sikia hasara kamwe.
Mbona NMB wanafanya vizuri,kwanini serikali isiangalie uwekezaji wa namna ile au kama haiwezi bora iachana na hiyo biashara kichaa
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere leo amewasilisha Ripoti kuu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Chamwino Dodoma ambapo moja ya aliyoyasema kwenye ripoti hiyo ni kuhusu Mashirika ya Umma yanayojiendesha kibiashara kupata hasara.

“Nianze na Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Mh. Rais natambua hatua mbalimbali ambazo Serikali yako inazichukua ili kuwezesha kampuni yetu ya ndege kujiendesha kwa faida, hatua hizi ni pamoja na kuundwa kwa Timu ya Wataalamu inayofanya tathmini ya masuala ya kiufundi, kifedha na utendaji wa ATCL katika biashara ya usafiri wa anga ili kuishauri Serikali hatua sahihi za kuchukua”

“Hata hivyo katika mwaka wa fedha 2022/2023 kampuni hii imepata hasara ya Tsh. bilioni 56. 64 sawa na ongezeko la 61% kutoka hasara ya Tsh. bilioni 35.24 iliyoripotiwa mwaka uliopita, kampuni imetengeneza hasara hii licha ya kupokea ruzuku ya Tsh. bilioni 31.55 kutoka Serikalini na kuonesha Tsh. bilioni 9.71 ikiwa ni sehemu ya ruzuku hiyo kama mapato kwa mwaka wa fedha 2022/2023”

“Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 Shirika limepata hasara ya Tsh. milioni 894, hasara hii imepungua kwa 94% ukilinganisha na hasara ya Tsh. bilioni 19. 23, Shirika limetengeneza hasara hii licha ya kupokea ruzuku ya Tsh. bilioni 4.55 kutoka Serikalini na kuonesha Tsh. Tsh . bilioni 4.4 ikiwa ikiwa ni ya sehemu ya ruzuku hiyo kama mapato yake kwa mwaka wa fedha 2022/2023”

“Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 Shirika limepata hasara ya Tsh. bilioni 100.70 hasara hii imepungua kwa 47.32% ukilinganisha na hasara ya Tsh. bilioni 190.01

“Hata hivyo hasara hii imetokea licha ya kupokea ruzuku ya Tsh. bilioni 32.81 kutoka Serikalini kwa ajili ya matumizi ya kawaida sio matumizi ya maendeleo”
1711630863826.jpg
 
Just imagine yaani TTCL kutoka Kupata faida Hadi Kuzalisha Hasara yet bodi zipo na CEO yupo harafu Serikali Inatumika Kodi za Maskini kwenda kuwalipa mishahara.

Huu upuuzi ukome,kama hawawezi pata faida badilini sheria Ili hayo Mashirika yawe Kwa Ajili ya Huduma Kwa Umma.

Ni aibu Kwa Mashirika karibu yote ya Umma kuingiza hasara
ATCL
TRC
Posta
Benki ya Uwekezaji nk
TanOil
Dart nk

My Take
Viongozi oneni aibu na wahusika wawajibishwe

----
Ripoti ya mwaka wa fedha 2022/2023 imeeleza kuwa taasisi za umma zinazofanya biashara zimepata hasara.

Akikabidhi ripoti iliyokaguliwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino, Dodoma, siku ya Alhamisi asubuhi, CAG Charles Kichere alisema ofisi yake inaelewa juhudi za serikali za kuboresha utendaji wa taasisi zake zinazopata faida lakini alisisitiza kuwa dhana ya utawala bora inapaswa kufuatwa.

Kulingana na ripoti ya CAG, katika mwaka wa 2022/2023, ATCL ilipata hasara ya jumla ya bilioni 56.64/-, ikiongezeka kutoka bilioni 35.25/- iliyoripotiwa kipindi kama hicho.

Aidha, alitaja Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kama kampuni ya umma nyingine ambayo ilirekodi hasara ya milioni 894/- katika kipindi hicho hicho.

Hata hivyo, inaonekana kampuni ya mawasiliano imeboresha utendaji wake kwani hasara imepungua kwa asilimia 94 kutoka bilioni 19.32/- iliyoripotiwa katika kipindi kilichotangulia.

Aidha, Shirika la Reli Tanzania (TRC) liliripoti hasara ya bilioni 100.70/-.

Zaidi ya hayo, ripoti ya CAG pia ilifunua kwamba Tanzania National Oil (TANOIL) ilipata hasara ya bilioni 76.56/- katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiongezeka kwa asilimia 68.72 ikilinganishwa na kipindi kama hicho.

Shirika la Posta Tanzania (TPC) lilipata hasara ya bilioni 1.34/- katika mwaka wa fedha wa 2022/23.
Tunapoandika na kusema kwamba huyu Rais ni bomu wala hatumuonei. Lakini wajinga Wanamtetea. Kama ataendelea kuongoza huyu kila kitu cha maana kitakufa. Ni bomu kweli kweli. Watu wanajipigia tu. Mimi sitamchagua kama ataletwa hata kama nitashikiwa bastola
 
Just imagine yaani TTCL kutoka Kupata faida Hadi Kuzalisha Hasara yet bodi zipo na CEO yupo harafu Serikali Inatumika Kodi za Maskini kwenda kuwalipa mishahara.

Huu upuuzi ukome,kama hawawezi pata faida badilini sheria Ili hayo Mashirika yawe Kwa Ajili ya Huduma Kwa Umma.

Ni aibu Kwa Mashirika karibu yote ya Umma kuingiza hasara
ATCL
TRC
Posta
Benki ya Uwekezaji nk
TanOil
Dart nk

My Take
Viongozi oneni aibu na wahusika wawajibishwe

----
Ripoti ya mwaka wa fedha 2022/2023 imeeleza kuwa taasisi za umma zinazofanya biashara zimepata hasara.

Akikabidhi ripoti iliyokaguliwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino, Dodoma, siku ya Alhamisi asubuhi, CAG Charles Kichere alisema ofisi yake inaelewa juhudi za serikali za kuboresha utendaji wa taasisi zake zinazopata faida lakini alisisitiza kuwa dhana ya utawala bora inapaswa kufuatwa.

Kulingana na ripoti ya CAG, katika mwaka wa 2022/2023, ATCL ilipata hasara ya jumla ya bilioni 56.64/-, ikiongezeka kutoka bilioni 35.25/- iliyoripotiwa kipindi kama hicho.

Aidha, alitaja Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kama kampuni ya umma nyingine ambayo ilirekodi hasara ya milioni 894/- katika kipindi hicho hicho.

Hata hivyo, inaonekana kampuni ya mawasiliano imeboresha utendaji wake kwani hasara imepungua kwa asilimia 94 kutoka bilioni 19.32/- iliyoripotiwa katika kipindi kilichotangulia.

Aidha, Shirika la Reli Tanzania (TRC) liliripoti hasara ya bilioni 100.70/-.

Zaidi ya hayo, ripoti ya CAG pia ilifunua kwamba Tanzania National Oil (TANOIL) ilipata hasara ya bilioni 76.56/- katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiongezeka kwa asilimia 68.72 ikilinganishwa na kipindi kama hicho.

Shirika la Posta Tanzania (TPC) lilipata hasara ya bilioni 1.34/- katika mwaka wa fedha wa 2022/23.
Hivi hii nchi ina laana ya nani?

Watanzania tunaweza nini? Mbona watanzania tuna fail kwenye kila jambo shida nini hasa?

Tukisema tubinafsishe hayo mashirika tuwe tunachukua kodi tu"

Tutapoteza ajira za watanzania wengi sana na bado hiyo kodi tutakayochukua itaishia kwenye matumbo ya watu

Sasa nini kifanyike?

Anayejua amsaidie mama kusema

Nimeshikwa na hasira sana nitaongea ya kuongea hapa mwisho nitapigwa ban
 
Just imagine yaani TTCL kutoka Kupata faida Hadi Kuzalisha Hasara yet bodi zipo na CEO yupo harafu Serikali Inatumika Kodi za Maskini kwenda kuwalipa mishahara.

Huu upuuzi ukome,kama hawawezi pata faida badilini sheria Ili hayo Mashirika yawe Kwa Ajili ya Huduma Kwa Umma.

Ni aibu Kwa Mashirika karibu yote ya Umma kuingiza hasara
ATCL
TRC
Posta
Benki ya Uwekezaji nk
TanOil
Dart nk

My Take
Viongozi oneni aibu na wahusika wawajibishwe

----
Ripoti ya mwaka wa fedha 2022/2023 imeeleza kuwa taasisi za umma zinazofanya biashara zimepata hasara.

Akikabidhi ripoti iliyokaguliwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino, Dodoma, siku ya Alhamisi asubuhi, CAG Charles Kichere alisema ofisi yake inaelewa juhudi za serikali za kuboresha utendaji wa taasisi zake zinazopata faida lakini alisisitiza kuwa dhana ya utawala bora inapaswa kufuatwa.

Kulingana na ripoti ya CAG, katika mwaka wa 2022/2023, ATCL ilipata hasara ya jumla ya bilioni 56.64/-, ikiongezeka kutoka bilioni 35.25/- iliyoripotiwa kipindi kama hicho.

Aidha, alitaja Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kama kampuni ya umma nyingine ambayo ilirekodi hasara ya milioni 894/- katika kipindi hicho hicho.

Hata hivyo, inaonekana kampuni ya mawasiliano imeboresha utendaji wake kwani hasara imepungua kwa asilimia 94 kutoka bilioni 19.32/- iliyoripotiwa katika kipindi kilichotangulia.

Aidha, Shirika la Reli Tanzania (TRC) liliripoti hasara ya bilioni 100.70/-.

Zaidi ya hayo, ripoti ya CAG pia ilifunua kwamba Tanzania National Oil (TANOIL) ilipata hasara ya bilioni 76.56/- katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiongezeka kwa asilimia 68.72 ikilinganishwa na kipindi kama hicho.

Shirika la Posta Tanzania (TPC) lilipata hasara ya bilioni 1.34/- katika mwaka wa fedha wa 2022/23.
na taifa stars 😂
 
Hayo mashirika yanatumiwa na viongozi wa serikali kujinufaisha tu yalipaswa kubinafsishwa.
 
Back
Top Bottom