tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,490
- Thread starter
- #21
mchango mzuri kabisa mkuu....tuna shida ktk management ya TFFLigi (TPL) haina mdhamini hadi Leo huku TFF wakisema mbona hata England (EPL) nayo mdhamini hawana?
hivyo ni sawa tu
viongozi wa TFF wamebaki kupingana wao kwa wao na kuunda makundi huku wengine wakikimbilia mahakamani ili kupata haki zao ilihali wote walichaguliwa kwa njia sawa!
Mbona wiki hii EPL timu zote zitakazocheza UEFA Jumanne basi mechi zao zilichezwa Jumamosi ili wapumzike Jumapili na Jumatatu
Mfano Man utd, Liverpool, Barca n.k
Na iwapo ratiba yako ya UEFA ipo Jumatano basi walicheza Jumapili ili wapumzike Jumatatu na Jumanne
mfano Real Madrid n.k
kwa zile za Alhamisi ni kuenenda tu na ratiba ili vipolo visiwepo
Kumbe timu inaweza kupumzika masaa 48 tu wakakipiga?
Ila hiyo ya siku 14 labda timu ya Taifa na matokeo hahaha yakawa mabaya kule Lesotho
Huenda pia kuna timu ziliwahi kubebwa na ratiba kama hivi ila inabidi sasa tubadili mfumo
Kupunguza pengo la michezo iliyochezwa kati ya timu na timu regardless inashiriki michezo gani ya nje
KIKUBWA TFF UONGOZI USIONGEZEWE MUDA UPIGWE CHINI KABISA WAPEWE WATU WALIOWAHI KUCHEZA MPIRA TUACHE MAZOEA KARIA KUWA RAIS TFF BORA ANGEBAKI ALIYEPO SEGEREA