Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Kama imeshindwa kupata Maendeleo kwa Miaka 60 Kwa KATIBA ILIYOPO ulitarajia KUYAPATA KWA KATIBA HIYO HIYO ni KICHAA TU ndio Atayapata kwa Katiba hiyo iliyopoKatiba Mpya siyo kipaumbele kwa sasa kwa kuwa wanasiasa wanataka kutumia kigezo cha siasa kwa manufaa yao kurudi kwenye siasa baada ya kustaafishwa 2020..
Katiba Mpya itapatikana na wananchi na wale waliokwamisha BMK na UKAWA hawawezikuwa sehemu ya mchakato
MAENDELEO KWANZA
MAENDELEO KWANZA,Swadaktaaaa lakini hatujaleta maendeleo kama aliyoleta Hitler kwa watu wake.Kipi kilitokea??Katiba Mpya siyo kipaumbele kwa sasa kwa kuwa wanasiasa wanataka kutumia kigezo cha siasa kwa manufaa yao kurudi kwenye siasa baada ya kustaafishwa 2020..
Katiba Mpya itapatikana na wananchi na wale waliokwamisha BMK na UKAWA hawawezikuwa sehemu ya mchakato
MAENDELEO KWANZA
Kukubali kutokukubaliana ni sehemu ya democracy. Kushindwana ktk hoja hasa upande moja unapotumia hila kupitisha matakwa yao ni sawa tu.UKAWA si ilisaini makubaliano haya baada ya kususia bunge la katiba na wale wanaharakati? walipofika nje wakatibuana na CUF wakajiondoa kwa uroho wa watu wakaingia kwenye uchaguzi na wakapata wabunge 60-lini hawa wabunge 60 waliwahi kuongelea UKAWA tena na madai ya katiba?
UKAWA ilivunjika? Ilitimiza haya makubaliano? Lini waliwahi kusema ukawa imevunjika na haya siyo makubaliano tena? Kwa hiyo baada ya kukosa ubunge na wengine kukimbilia nje ya Tanzania ndiyo wanaanza kudai katiba? Kwa mtindo huu KATIBA isubiri tulete MAENDELEO tusichoshane