ErickjrJunior
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 328
- 78
Ni muda sasa hali hii imekua ikinishangaza, yaani ipo hivi; mimi popote niwapo, ikitokea nimekutana na mwanamke ni lazima atabadilika! Mfano, napita sehemu na kuna mwanamke anakuja tupishane, basi akiniona tuu, atabadilika!
Wengine uangalia chini mpka tunapopishana, wengine ujiweka sawa mavazi, wengine ujikagua mwili. Hayo yote hufanyika pale napokutana popote na mwanamke, mara ya kwanza nilidhani ni aibu za wanawake.
Lakini cha kunishangaza ni mpka watu wazima walio pevuka ambao auwezi kutegemea ya kwamba watakua na aibu!Hali hii imekua ikinitokea sana napokutana na mwanamke yaan tunapopishana njiani, kuna wale ambao siwafahamu kabisaa yani kila mtu na hamsini zake na kuna ambao nawafahamu wote wapo hivyo hivyo, je hali hii ni nini sabbu yake?Yani ni kma kila mwanamke naepishana nae popote, anakua kma amepoteza kujiamini hivi, hivi hii inaweza kuwa ni aibu kweli?
Je, aibu hii ni hata kwa mtu asiekuhusu unaepishana nae tu?