Ni 24 December HAPPY BIRTHDAY Baba V

Mkubwa Baba V heshima kwako,naomba nichukue fursa hii kukutakia heri fanaka na mafanikio katika maisha yako hasa katika siku hii Kubwa na ya kuheshimika kwako.HAPA NAPIGA KIMOMBO KUONYESHA MSISITIZO.
:cheer2::cheer2:HAPPY BIRTHDAY BABA V:cheer2::cheer2::cheer2:​
 
Last edited by a moderator:
Mbona kathread kafupi sana?
Wapi Mama v??? lol

Happy birthday Baba V!
Nakutakia maisha mema yenye heri na fanaka.
Uishi miaka mingi zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday mwenye kiti wangu Baba V
 
Last edited by a moderator:
Aisee bi mkubwa angesubiri masaa machache afu ujazaliwa basi ungekuwa mtu muhimu sana.happy birth day.
 

pamoja sana mkuu St. Paka Mweusi , vp leo uko zamu lindoni nini!?
 
Last edited by a moderator:
Mbona kathread kafupi sana?
Wapi Mama v??? lol

Happy birthday Baba V!
Nakutakia maisha mema yenye heri na fanaka.
Uishi miaka mingi zaidi.

waooh!! Kipipi ahsante sana aisee, Mama v yupo aisee naona sijui kajishahau,sijui ndo uzee unamjia kwa kasi? Sijamuelewa bado ati!
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday kaka mkubwa...Mungu akujalie uishi maisha marefu
 
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday dear Baba V
Happy birthday to you.
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Baba V, hongera pia kwa familia yako ya Mama v na V. Mungu akupe heri na fanaka akuepushe na maradhi na maadui. Umwamini MUNGU huyuhuyu tu. AMEN.
 
Last edited by a moderator:
Miaka inasonga umetoka kwenye crue ya vijana wa makamo unaelekea uzeeni ubarikiwe san na Mungu akupe nguvu na afya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…