Haya sasa kwa wale tulioapply majibu yamekuja wakuu,wameweka majina ya waliowaita ktk gazeti la mwananchi la leo,ni mengi mno,wengine tumeangukia pua,kila ka kheri mlioitwa
Haya sasa kwa wale tulioapply majibu yamekuja wakuu,wameweka majina ya waliowaita ktk gazeti la mwananchi la leo,ni mengi mno,wengine tumeangukia pua,kila ka kheri mlioitwa
najaribu sana kuitafuta soft yake net nashindwa kuipata, mi niliyaona majina kwenye hard copy ya gazeti la mwananchi,nimejaribu kuingia kwenye website ya Bima ya Afya nione kama wameyaweka majina niwauploadieni hawajayaweka katika mtandao wao,jitahidi upate nakala ya Mwananchi Mkuu
Mimi sijaelewa mkuu unaamaainisha waliofanya interview na wameitwa kweny oral au kuna nafas nyingine walitangaza ndio wameita watu kwa ajili ya written interview
Ni kweli bana wadau wametoa kwenye mwananchi tu mi mwenyewe nimechemsha...Membership officers wametoa majina 29, Compliance officers wametoa 26, Assistant Accountant wametoa 21. Poleni sana waliopotezewa kama mimi..
Sasa mpaka sasa inaonyesha members wengi wa JF wamekosa. Embu na wengine watiririke tuone ni members wangapi wa JF home of great thinkers wamepata au kukosa. Isije ikawa hujuma hii! Hehehe! Au...?
Sasa mpaka sasa inaonyesha members wengi wa JF wamekosa. Embu na wengine watiririke tuone ni members wangapi wa JF home of great thinkers wamepata au kukosa. Isije ikawa hujuma hii! Hehehe! Au...?