NHIF vipi?

habdul64

Senior Member
Dec 24, 2014
153
67
Mh. Kigwangala na Ummy naomba mfanye ziara pale NHIF mana sina imani na utendji wao..
- wanazuia wategemez tofaut na watoto,mke na wazaz
- wanachelewesha vitambulisho miezi miwili
- dawa zilizopo hazipatikan hospitali
- wanawakata watumishi bila hiyari..
 
Back
Top Bottom