NHIF vipi jamani?

Skyblue

Senior Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
196
Reaction score
55
da kama ndokusubilia hii kali jamani mi naulizia kuhusu matokeo ya interview tuliofanyaga kule kurasini vipi kunaanae jua lini watatoa au ndo lilikua changa la macho. plc nijuzen waungwana.
 
Ivi km walishindwa ku short list majina yenu Kuwait kweny written ndo wataweza kumark mitihani?cha msingi tuendelee na shughuli zetu za kila cku matumaini ni madogo sn.cjui wenzangu mnalionaje hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…