NHIF na ubaguzi wa wategemezi

NHIF na ubaguzi wa wategemezi

NILITEGEMEA SOMEBODY OUT THERE AT NHIF ANGEWEZA KUJIBU HOJA HZ LAKINI wako kimya tu. Hv hawana afisa habari wakujibu hz hoja. Naomba Mhe. Waziri Wa afya katika ziara zako ufike nhif ni jipu kubwa hl limeiva .
 
Majipu ni mengi walimu tunawapelekea watoto wetu na mishahara. ..wanaishia kufeli tu hata kusoma gazeti hawawezi. .majipu kila mahali.
 
Back
Top Bottom