Wafanyakazi wengi wanakatwa kuanzia kati ya laki mbili hadi milioni 2 kwa mwaka kwa mtu mmoja.nafikiri watajirekebisha kwa ili maana mwanzo ata individual ilikua hawakati bima kutokana na kuaepo kwenye ugumu wakujua income yako ,ilikua kwa wafanyakazi kwa kua ni regular income,wao kila mwenzi kukata chai kutokana na kipato chako
Wafanyakazi wengi wanakatwa kuanzia kati ya laki mbili hadi milioni 2 kwa mwaka kwa mtu mmoja.
Wafanyakazi hao hao wanalipa kodi kati ya laki nane hadi milioni milioni tano kwa mwaka tena hawa naongelea wa serikali.
Ni kwa nini wafanya biashara mnataka mbebwe na mfanyakazi ambaye mwisho wa mwezi tu utasikia anaulizia mshahara kama umetoka,na ninyi mnakuwa wa kwanza kumzodoa?Ni lazima kila mtu atimize wajibu wake vizuri na si kutegemea kuwanyonya wafanyakazi
Ukisema bima ikatwe kama Magari basi itabidi sheria zirekebishwe kwa sababu sisi wafanyakazi tunabeba mzigo mkubwa sana,sisi tunakatwa kila mwezi,lakini sheria zikibadilishwa hilo linawezekana sana
Usipende kuzungumzia usichokijua mkuuWewe kama mfanyakazi unakatwa kiasi gani na nhif mpaka ulalamike?kwenu hii huduma si ni mchekea kabisa,acha kufuru
Kiasi ninachokatwa ni kikubwa sana kwa mwezi na ukipiga hesabu kwa mwaka ndio nagundua mzigo ni mkubwa sanaWewe kama mfanyakazi unakatwa kiasi gani na nhif mpaka ulalamike?kwenu hii huduma si ni mchekea kabisa,acha kufuru
Huyo anaongea tu kwa sababu hajui tunakatwa shilingi ngapiUsipende kuzungumzia usichokijua mkuu