vyote hivyo vinafanywa, ila kwa wagonjwa wa standard package sio vifurushi kwamaana watumishi, wagonjwa ambao wapo kwenye kampuni au wanaokuja kwa makundi. Bima haiwezi kufunction sawasawa kama mtu atakuja mmojammoja ndii maana kwa wagonjwa wa vifurushi hawawezi kupata. Mfano wa vikundi ni wakulima kwenye vyama vyao, shule na wanafunzi wa chuo. Ingawa wakulima walianza wanasuasua maana wanaona 76,000/= ni kubwa kwamaana watanzania bado elimu ya bima ni ngumu sana kwao. Hapa hata watoto wa dogo wenye kutumia bima ya toto afya.NHIF huwa wanalipia Dialysis? Ama sugery za moyo? Ama chemo ya cancer?
Unachosema hapa ni sawa na kuyaambia mashirika ya bima yasikae magari makuukuu (mikweche) yenye namba kama T008AKS kukata bima kubwa (comprehensive). Utakubalije bima ya mtu ambae havai helmet, anaendesha gari/bodaboda bila leseni, analala na kuku wake uvunguni, hana chandarua, anajisaidia vichakani hana choo, hanawi mikono wakati wa kutoka haja kubwa, haogi, havui, hana chakula nyumbani, nyumbani kuna viroboto, anakunywa gongo, anatumia madawa, kila mwaka ya kulevya na kila mwaka mimba halafu upate faida?Sasa kama wanakufa si ni ahueni kwa huo mfuko ?, Kwamba hawatatumia huo mfuko kwa muda mrefu Au ?
Na kama wapo mbali na hawasikiki wala hawafikiwi si kwamba hata hio Bima haiwafikii / hawaitumii Au?
Usiangalie mambo kwa jicho la matumizi pekee bali na kwa upotevu wa nguvu kazi, since ni wengi kuliko matajiri kuwa kwao wagonjwa ni hatari kwa jamii na kukosa nguvu kazi hence preventive measures need be taken
Sijakuelewa unamaanisha Mimi ni masikini?sikuenda kukata bima kwa sababu ninamgonjwa ila nililenga nimkatie babu yangu bima japo siyo mgonjwa.maana wazee wa kanda ya ziwa hasa wa bibi huwa wanasumbuka sana na mgonjwa ya namna hiyo.unaponijibu kuwa mi nimasikini je unanijua kipato changu?Maskini wengi wengi huwa wanaenda kujiunga na bima wanapokuwa na mgonjwa aliyeko kitandani au hospitalini ili wasaidiwe gharama za matibabu za mgonjwa huyo. Hili ni kosa katika bima. Huwezi kukatia bima kubwa gari lako kuukuu.
Mkuu fanya tena research kuhusu Bima na inavyofanya kazi....Unachosema hapa ni sawa na kuyaambia mashirika ya bima yasikae magari makuukuu (mikweche) yenye namba kama T008AKS kukata bima kubwa (comprehensive). Utakubalije bima ya mtu ambae havai helmet, anaendesha gari/bodaboda bila leseni, analala na kuku wake uvunguni, hana chandarua, anajisaidia vichakani hana choo, hanawi mikono wakati wa kutoka haja kubwa, haogi, havui, hana chakula nyumbani, nyumbani kuna viroboto, anakunywa gongo, anatumia madawa, kila mwaka ya kulevya na kila mwaka mimba halafu upate faida?
Sina uhakika na unachokikusudia hapa lakini unataka kusema kuwa wale waliojenga mabondeni, wanaolala na mifugo yao chumba kimoja, wale wenye watoto wengi kuliko uwezo wao lazima walipe zaidi kwenye bima zao, kaka makaburi mengi ni ya maskini. Kuna umakini wa kipato, kuna umaskini wa chakula na kuna umaskini wa akili/elimu pia. Makundi yote haya ya umaskini yanapatikana ndani ya walalahoi. Jamii yetu ina watoto wengi zaidi kuliko wazee kwakuwa fertility rate yetu ni kubwa na inakwenda inversely proportional na ukuaji wa uchumi wa kaya. Hivyo ku pull risMkuu fanya tena research kuhusu Bima na inavyofanya kazi....
Moja the higher the risk the more you pay..., kwahio watu wenye existing condition wazee n.k. ukiwakatia Bima lazima utatoa pesa nyingi ingawa kama walijiunga wakati wadogo au kabla ya hio condition hio ndio faida kwao...
In short mfuko utaweza kufanya kazi sababu kama kuna numbers kubwa ya vijana wasiougua kama wazee basi mchango wa vijana utachangia wazee na pesa ya kujiendesha au hata faida kupatikana...
Uchafu ni tabia na aliyekwambia kuvaa viatu ndio healthfulness (we can argue wearing shoes most of the time is not healthy but that's an argument for another day)..., Na kunywa gongo n.k. ni umasikini au tabia ? Kwahio kwanza tafuta definition ya umasikini alafu tuendelee...
Point yako ingekuwa na mashiko ungemalizia tu kwenye Prevention is Better than Cure and being Proactive is better than reactive...., na you might be astonished to know that spending more on healthcare does not necessarily mean being healthy Japan kutokana na ku-invest in training and culture yao kuwa healthy and healthy living they are healthier by even spending less per capita kulinganisha na America ambao wanaspend billions
Naam waliojenga mabondeni lazima wanalipa zaidi kwenye Bima ya Mali sasa BIma ya Afya ikiangalia umejenga wapi ili upate Bima nashindwa kukuelewa pia watu wanaojenga na wana Mifugo bado unawaita masikini ? Hao wenye watoto wengi huo ni umasikini au tabia..., na kwani BIMA hazina idadi ya watoto ?Sina uhakika na unachokikusudia hapa lakini unataka kusema kuwa wale waliojenga mabondeni, wanaolala na mifugo yao chumba kimoja, wale wenye watoto wengi kuliko uwezo wao lazima walipe zaidi kwenye bima zao,
logically kama wanakufa zaidi basi ni ahueni ya BIMA pili technically kama masikini ni wengi kuliko matajiri unategemea nini ? Mathematically na makaburi yao yatakuwa mengi (its simple mathematics)kaka makaburi mengi ni ya maskini.
Sasa tunaanza ku-stretch the argument, I can argue hata matajiri wana umasikini wa akili / elimu kuhusu afya ndio maana wengi wao ni wazembe, hawafanyi zoezi na kula junk foodsKuna umakini wa kipato, kuna umaskini wa chakula na kuna umaskini wa akili/elimu pia.
That's another argument all together hakuna aliyesema mtu awe na familia zaidi ya uwezo wake, ila its a proven fact wazee wanamatatizo ya magonjwa kuliko vijana ndio maana ukianza kuchangia tangia kijana atleast ukifika uzeeni utakuwa pesa yako ishawasaidia wengineMakundi yote haya ya umaskini yanapatikana ndani ya walalahoi. Jamii yetu ina watoto wengi zaidi kuliko wazee kwakuwa fertility rate yetu ni kubwa na inakwenda inversely proportional na ukuaji wa uchumi wa kaya. Hivyo ku pull ris
Tabia kuu ya maskini ni kwamba anawaza na kufikiria ya Leo kwanza, atakula nini, atavaa nini na atalala wapi. Hafikirii kesho kwakuwa Hana ziada (surplus) ya kuwekeza kujikinga na yajayo ambayo Leo hayapo na sio tatizo kwao. Yaani ataenda dukani kununua unga nusu na robo wa kula Sasa, jioni anaenda tena dukani kununua mchele kilo moja, ataenda gengeni kununua nyanya za Sasa jioni anarudi tena gengeni kununua ndimu na nyanya. Kifupi Hana hela ya kulipia bima ili afaidike kesho wakati hela ya kununua chumvi ya Leo Hana. Kifupi hawatalipia hiyo bima kwa wote. Malalamiko kwa wale wanaolipia yatakuwa makubwa sana kwakuwa huduma zitakuwa mbaya sana kwao.Huu uzi hautakuwa a wachangiaj8 wengiii. Kwakua wachangiaji wengi ni maskini
Mkuu kusema kweli junk food hamnaga huku Tanzania , unajua maana ya junk food ??????????Kwanza fanya research ya haya mambo...
1) Maana ya Bima na vipi inafanya kazi na inahitaji nini ili kufanya kazi
2) Magonjwa mengi ya Kizazi hiki yanasababishwa na nini ? (Pressure, kutokufanya mazoezi, kubweteka) pia utagundua kwamba unhealthy eating junk food inaendana na rise in income, mfano America pamoja na income kubwa per capita lakini watu wake ni unhealthy..., China baada ya watu kuongezeka kipato Obesity ikaongezeka
3) Pia ushajiuliza kwanini wewe unahangaika kila siku ukinywa maji tu machafu kidogo wakati kuna watoto wa mitaani wanakunywa maji ya mitaroni na kuishi nje na sehemu chafu ila wanadunda (immunity has something to do with it)
Cha maana inabidi kama taifa tuache mambo ya reactive care bali twende kwenye preventive care..., and that has nothing to do with income bali elimu ya afya..., unaweza ukapata pesa zaidi ukazidisha bia, mafuta, red meat ukawa mtu wa kukaa ofisini ukitoka kwenye gari na kula junk food wakati kipindi unakimbizana na daladala ulikuwa unafanya zoezi tosha....
rudia kusoma nilichoandika.....Mkuu kusema kweli junk food hamnaga huku Tanzania , unajua maana ya junk food ??????????
Mimi Niko huku Marangu siwawahi kula cheeseburger anzia nizaliwe sana sana nimejitahidi ni nusu kilo ya nyama siku ya Jumapili . Hizo Junk food ni za Wamarekani mkuu . Huku Longido ARUSHA kuna sehemu ukame balaaaa watu wamekondeana balaa, Soda yenyewe labda kuwe na ubarikio .