Mkuu usijaribu kuingia kwenye kikundi cha kufa na kuzikana chenye watu maskini utafirisika kwa michango, Watu hawa utasikia mara anahaarisha na kutapika, mara mtoto kaungua na uji jikoni, mara ana malaria, minyoo, kipindupindu, anabanwa kifua, nk kafa au amelazwa hospital mumchangie, mumsafirishe, nkUmesema vema
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu usijaribu kuingia kwenye kikundi cha kufa na kuzikana chenye watu maskini utafirisika kwa michango, Watu hawa utasikia mara anahaarisha na kutapika, mara mtoto kaungua na uji jikoni, mara ana malaria, minyoo, kipindupindu, anabanwa kifua, nk kafa au amelazwa hospital mumchangie, mumsafirishe, nk
Hela tunazo katwa kila monthly unadhani ni zakununulia vyuma chakavu? Mimi nakatwa hela kila mwezi lakini ninamwaka wa 6 sijaenda hospital hata kuchukua Panado hiyo hela yangu inafanya kazi gani? Wacha ikatibie maskini wengineWatu wetu wengi ni maskini sana, wajinga wasiofuata kanuni za afya kujilinda na maradhi. Nchi haina maji, umeme, barabara, chakula na nyumba Bora za kuishi toshelezi. Elimu ya afya haiwafikii watu wote...
NHIF kitu wanachofanya kwa UFANISI zaidi Ni KUJILIPA MISHAHARA MIKUBWA, KUTAFUTA sana MAKOSA ili WASILIPE PESA na KUKOMOW Wanachama WAKE.Watu wetu wengi ni maskini sana, wajinga wasiofuata kanuni za afya kujilinda na maradhi. Nchi haina maji, umeme, barabara, chakula na nyumba Bora za kuishi toshelezi. Elimu ya afya haiwafikii watu wote...
Inasikitisha sana..ni ubinafsi mtupu umewajaa.NHIF kitu wanachofanya kwa UFANISI zaidi Ni KUJILIPA MISHAHARA MIKUBWA, KUTAFUTA sana MAKOSA ili WASILIPE PESA na KUKOMOW Wanachama WAKE...
Shida ipo hapa, serikali inang'ang'ania wafanyakazi wake wawe wanachama wa NHIF.Watu wetu wengi ni maskini sana, wajinga wasiofuata kanuni za afya kujilinda na maradhi. Nchi haina maji, umeme, barabara, chakula na nyumba Bora za kuishi toshelezi. Elimu ya afya haiwafikii watu wote...
Hela yako Kuna inatumiwa na maskini wasiokula matunda, wasionawa mikono baada ya choo, wasiolala kwenye vyandarua, bodaboda wasiokuwa na leseni wasiovaa helmet, wagonjwa wa TB, HIV, BP, kisukari ambao idadi Yao inazidi kuongezeka.Hela tunazo katwa kila monthly unadhani ni zakununulia vyuma chakavu? Mimi nakatwa hela kila mwezi lakini ninamwaka wa 6 sijaenda hospital hata kuchukua Panado hiyo hela yangu inafanya kazi gani? Wacha ikatibie maskini wengine
Serikali itengeneze ajira za viwandani,badala ya kuwa na ma halmashauri,mikoa,mashirika kibao yasio zalisha kitu,serikali inunue tekinolojia ya kilimo,ufugsji tuuze mazao Afrika nzima,tuwe na mradi wa kulima wa kisasa kama Ukraine,kiasi kwamba tufikie tuilishe Afrika nzima.Watu wetu wengi ni maskini sana, wajinga wasiofuata kanuni za afya kujilinda na maradhi. Nchi haina maji, umeme, barabara, chakula na nyumba Bora za kuishi toshelezi. Elimu ya afya haiwafikii watu wote...
Very well said. ๐๐Watu wetu wengi ni maskini sana, wajinga wasiofuata kanuni za afya kujilinda na maradhi. Nchi haina maji, umeme, barabara, chakula na nyumba Bora za kuishi toshelezi. Elimu ya afya haiwafikii watu wote...
๐๐๐Watu wetu wengi ni maskini sana, wajinga wasiofuata kanuni za afya kujilinda na maradhi. Nchi haina maji, umeme, barabara, chakula na nyumba Bora za kuishi toshelezi. Elimu ya afya haiwafikii watu wote.
Watu wetu wanazo tabia nyingi mno ambazo ni hatarishi kwa afya zao zinazowafanya waugue wakati wowote na kuhitaji kutibiwa.
Huwezi kumuwekea bima ya afya mtu ambae Hana maji safi, umeme, chakula, choo Wala chandarua. Huwezi kumuwekea bima mtu ambae anapanda pikipiki bila kuvaa helmet, havai viatu, aรฑa chumba kimoja yeye na watoto na mifugo yake, asiyetumia condom, choo, kunawa mikono, nk. Watu wa aina hii wanaugua familia nzima kila siku na kuhitaji matibabu ya kila siku na kila wakati kwenye hospitali tofauti tofauti.
Serikali lazimร ipunguze umaskini, itoe elimu ya afya na iboreshe maisha ya wananchi ili wasiugue mara kwa mara kabla ya kupanua wigo wa wadau wa NHIF, vinginevyo mfuko uta collapse.
Maskini hawekewi bima
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu usijaribu kuingia kwenye kikundi cha kufa na kuzikana chenye watu maskini utafirisika kwa michango, Watu hawa utasikia mara anahaarisha na kutapika, mara mtoto kaungua na uji jikoni, mara ana malaria, minyoo, kipindupindu, anabanwa kifua, nk kafa au amelazwa hospital mumchangie, mumsafirishe, nk
Huo ndio ukweli wenyewe. Tanzania ina watu tegemezi wengi sana. Wanaofanya kazi ni 10% tu ya watu wote. Ndio maaana rushwa haiishi hata uongeze vipi mshahara kwa watumishi, maana 90% (extended families, jamaa na marafiki) ya watu wanahitaji kupewa mahitaji na hawa 10% Dawa ni kuboreaha hali za watu wote.Serikali itengeneze ajira za viwandani,badala ya kuwa na ma halmashauri,mikoa,mashirika kibao yasio zalisha kitu,serikali inunue tekinolojia ya kilimo,ufugsji tuuze mazao Afrika nzima,tuwe na mradi wa kulima wa kisasa kama Ukraine,kiasi kwamba tufikie tuilishe Afrika nzima,
Tutengeneze,piki piki,bajaji,bettey,taa za majumbani,ifikie mahali hatuagizi zao lolote kutoka nje,sukari,mafuta,matairi ya magari,viti vya maofisini,