Malima Albert Jacob
Member
- Oct 11, 2010
- 12
- 4
kama wakienda watu wengi tofauti na matarajio yao na wakasema tunataka watu idadi fulani tu, wengine muondoke, je bado utasema wako fair?mi naona wako fair coz kila anaeomba anavigezo ishu ni mkafanye mtihan atakae faulu basi aende kwenye oral
NHIF wametoa tangazo la kuita watu kwenye Interview, liko kwenye gazeti la Mwananchi la leo(tarehe 14,Machi 2014) ukurasa wa 34, hawajatoa majina ila wameweka vigezo vyao pale na wakaandika kama una hakika ulitimiza hivyo vigezo basi unakaribishwa kwenye interview, katika kila post wameweka tarehe, muda na ukumbi wa kufanyia interview, eneo la tukio ni Tanzania Episcopal Conference Center (TEC), Kurasini.
Kama wataruhusu kila mtu kufanya interview hapo sawa,hofu yangu ni pale ambapo mtu atafunga safari toka mkoani kuja halafu anafika siku hiyo anaambiwa kuwa hakukidhi vigezo,hapo itakuwa tatizo.mi naona wako fair coz kila anaeomba anavigezo ishu ni mkafanye mtihan atakae faulu basi aende kwenye oral
haha hapo kweli. afu kuna mama wa posta alikuwa ananichek vbaya,unaweza kuta aliichanammmh mi sitaenda watakaoenda watanijuzaaa mwishoe uende kumbe barua yako haikufika
tusaidiane jamani maana mimi niliishia la tano!Kama wameshindwa kuchambua barua na CV, will they be able to mark what the candidates are going to sat for?????
Jaman let us be serious on this, nafkiri kama kuna vyombo vya kusimamia hii taasisi nadhan the whole HR Department should be responsible...What are they paid for??????????
kama mdau ana mpango wa kwenda kwenye hiyo interview bora asitishe ajifue lugha kwanza.tusaidiane jamani maana mimi niliishia la tano!
Wana watu wao tayari hao!