Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,180
- 2,453
Kuna dalili muuliza swali hata maana ya "Kaimu" hajui huenda amefananisha na neno "Makamu" au "Naibu". Kukaimu maana yake kukalia nafasi fulani kwa muda tu ikiwa mwenye nafasi yake hayupo kwasababu mbalimbali.