Mzalendo?! HayaMzalendo Nehemia hayupo kwa muda tu ila bado ni DG akilipigania taifa lake
Nehemia mchechu mzalendo? Katika lipi?Mzalendo Nehemia hayupo kwa muda tu ila bado ni DG akilipigania taifa lake
Nehemia mchechu mzalendo? Katika lipi?
Mzalendo?! Haya
Okay. Nilikua nafikiri tofauti kuhusu uzalendo!! Hii ulonipa leo ni maana mpya kwangu. Ahsante.Rejea kumbukumbu yako ya NHC kabla na baada ya uwepo wa Nehemia tofauti yake ndio maana halisi ya Uzalendo
Ni kweli yupoNimeona kwenye news ITV kuna mtu wamem-refer kama kaimu mkurugenzi. Wakuu naomba mnijuze, kama si kweli niondoe hii thread
Na mimi nimeona anaitwa Felix Maagi.
Nimeona kwenye news ITV kuna mtu wamem-refer kama kaimu mkurugenzi. Wakuu naomba mnijuze, kama si kweli niondoe hii thread
In other words nauliza mwenye dhamana yuko wapi?Nadhani ni kujua kiswahili vizuri tu maana unasema ni kaimu mkurugenzi na sio naibu mkurugenzi. Yeyote ndani ya NHC anaweza kukaimu nafasi hiyo kama mwenye dhamana hiyo hayupo lakini naibu ni cheo rasmi cha mtu
We huelewi nini kama mchechu kasafiri au likizo anaeachiwa aitwe naniNimeona kwenye news ITV kuna mtu wamem-refer kama kaimu mkurugenzi. Wakuu naomba mnijuze, kama si kweli niondoe hii thread
Hajateuliwa Ubalozi?Mzalendo Nehemia hayupo kwa muda tu ila bado ni DG akilipigania taifa lake