Nguzo ya Umeme imeanguka barabarani kwa Mtogole

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,720
55,859
Heshima kwenu wakuu,

Kuna nguzo ya Umeme imeanguka barabarani, imemuangukia dereva wa bodaboda huku umeme ukiwa haujazima.

Bodaboda kanusurika kifo ila kaumia sana.

Ni kwenye barabara itokayo sayansi kwa Ali Maua hadi kwa Mtogole. Nmeacha TENESCO ndo wamefika.

Barabara ina foleni sana.
3f9aff983c4e2baab655b97256556e63.jpg
 
Back
Top Bottom