NGUZO TANO ZA UJAMAA - KWA MUJIBU WA Mwalimu Julius K. Nyerere

Ni kupoteza muda, kubweteka na kufungwa kimawazo na kifikra kuendelea kuangalia system ya kiutawala na kiuchumi iliyoshindwa kuhimili tanuru la mabadiliko duniani.

Hizo nguzo kama zingekuwa ni imara kwa nini kwa sasa zimebaki kwenye vitabu vya historia. Hiyo system iliyobebwa na hizo nguzo ili fail kwa sababu haikuwa na fail-safe.

Kwa mawazo kama haya, Siyo ajabu mpaka sasa katiba ya nchi ya 1977 bado inasema Tanzania ni taifa la kijamaa. Hata wale wengine ambao wanataka kutawala mpaka sasa hawajasema kwa sauti kubwa kuhusiana na mwerekeo wao kiuchumi wakati katiba inawataka wawe wajamaa.

Hawawezi kuwa na uchumi wa mwerekeo tofauti na ilivyo katiba ya nchi na kwa kufanya hivyo watakuwa wanavunja katiba ya nchi.
 
nguzo zenyewe ni nzuri sana na bado nazikubali mpaka kesho

asiyekubaliana nami anambie nimpe sababu zangu
 
Back
Top Bottom