Nguzo mpya za simu zinazosambazwa mitaani

Nguzo mpya za simu zinazosambazwa mitaani

isky

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
884
Reaction score
738
Wadau nadhani nanyi mmepata kuona kuna nguzo ndogondogo zinasambazwa hapa mjini (DSM) kwa kasi kubwa sana kukiwa na tetesi kwamba ni za kampuni mpya ya simu.

Kama ni kweli ninajiuliza iweje serikali iruhusu kutandazwa kwa nyaya angani zama hizi?

Naomba kwa mwenye taarifa zaidi atujuze.
 
Mbona unataka kumwaga ugali wa watu aisee utafanya wengine waone kisha waje kumwaga na mboga ndugu ohoooo,shauri yako.
 
hz nguzo ni nying sana kilwa road zipo za kutosha kuelekea mbagala
 
hata geita zakutosha,hawa ni vietel mtandao wa simu toka vietnam
 
Ni fibre optic broadband cable inayosambazwa na Viettel. Nafikiri ni countrywide, most parts wanainlchimbia chini na pasipowezekana ndo wanaweka kwenye nguzo
 
Ni fibre optic broadband cable inayosambazwa na Viettel. Nafikiri ni countrywide, most parts wanainlchimbia chini na pasipowezekana ndo wanaweka kwenye nguzo

Nisahihi kabisa ni special kwa 4g internet network.
 
ya ni kwel,mikoani pia zipo,wanazitandaza pia along makambako_mbeya road
 
Back
Top Bottom