Nguvu zimeniisha na nimeumia sana baada ya kusikia stori hii ya mgeni wangu kutoka Mara

Nguvu zimeniisha na nimeumia sana baada ya kusikia stori hii ya mgeni wangu kutoka Mara

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,957
Ndugu wanajf ninamaumivu sana , mgeni wangu amefika kunitembelea jiji X akitokea Mara.

Tumepiga stori mbili tatu nikamuuliza vipi fulani yupo wapi siku izi mbona kimya sana na simu haipatikani , mgeni akaanza kulia sana ikabidi nimtulize, nikamuuliza kwanini unalia akasema unayemuulizia alipigwa risasi akiwa chuoni Arusha tena alibakiza miezi michache tu ahitimu masomo yake.

Aisee nimeumia sana hii serikali ya wauaji.

Yaani nguvu zimeniisha sina hamu na chakula, lkn kwanini waondoe uhai kikatili namna hii risasi ya kichwa ndugu wanajf haya ninayoandika nikiwa na maumivu makali sana.

DENI LA DAMU HULIPWA KWA DAMU
 
Back
Top Bottom