Nguvu za Rostam: UVCCM Kilimanjaro wafukuza

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
UVCCM mkoani kilimanjaro wamemfukuza rasmi Paul Makonda,
(yule kijana alifanza press confrence dar na kusema Rostam
akamatwe na afukuzwe nchini) paul akiongea na ITV amesema hawana ubavu wa kumfukuza labda JK
ITV habari saa 2 usiku
 
UVCCM akina nani tena hao? tumechoka na hao wa2 wa magamba na wanao,embu tuleta thread za ukumbozi wa kweli JF
 
Back
Top Bottom