Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,686
dah! umeacha pombe? si nimekuacha hapo buguruni unakunywa serengeti sasa hivi?
heheee wazee wa kubusti.
dah! umeacha pombe? si nimekuacha hapo buguruni unakunywa serengeti sasa hivi?
Lala wewe, usiku sahizi
haya........Muongo ww
Zama zile napiga mabapa yangu ya konyagi Nilikuwa nasimamia show kibabe ile mbaya, lakini tangu niache pombe mtarimbo wangu umekuwa legelege kama yule Polisi aliyebebwa ili kuvuka mtaro.
Nifanyeje nirudi Kwenye viwango vyangu?
heheee wazee wa kubusti.