Nguvu za kiume wanaume msimtafute mchawi

Nguvu za kiume wanaume msimtafute mchawi

Mchawi lishe nzuri na zoezi tu. Hamna kitu kama upungufu wa nguvu za kiumeni!

1.Amka na mazoezi ya mwili walau utoke jasho kidogo.
2.Piga uji wa ulezi bakuli moja na viazi vitamu au hogo la kuchemsha asubuhi.
3.Baada ya dkk 30-40 toka ulipokula jipige lita moja na nusu ya maji.
4.Mchana kula zako dona dagaa, arage kidogo na mboga ya majani na tunda aidha ndizi,parachichi au tikiti.
5.Baada ya lisaa jitie lita na nusu ya maji tena.
6. Jioni baada ya mishe zako unaweza piga pushups tu kama resistance exercise.Piga walau 30-50 bila kupumzika. Piga awamu tatu.
7. Kula chakula kiasi bila kusahau kusindikiza na tunda aidha ndizi,parachichi au tikiti.

Ukifanya haya ndani kuanzia siku ya 10 tu bila kupumzika utanipa majibu!
Lakini ukweli usemwe, ukifanya yote hayo acha kuangalia picha za ngono pia, ndio utakua imara zaidi
 
Habari wana jamvi

Kwa wale waislam hongereni kwa kuendelea na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kwa wale ambao ni waislam na hamkufanikiwa kufunga kwa sababu za maradhi Mwenyezi Mungu awanurusuni na maradhi hayo ili inshaalah muungane na wenzenu kabla ya ramadhani kwisha au Ramadhani ijayo muwe pamoja nao. Aidha kwa wale mlioamua kula kona tu kwa makusudi MUNGU ANAWAONA.

Nguvu za kiume - wanaume msimtafute mchawi, NDIO mchawi ni ninyi wenyewe na leo nawaambia tatizo linalowauwa sio MAWAZO YA MAISHA, SIO CHIPSI MAYAI PEKEE, WALA SIO PUNYETO. Wanaume ndio wanaoongoza kwa kuangalia PICHA/VIDEO ZA NGONO kuliko jinsi ya kike ulimwenguni, kwa Mujibu wa Msaikolojia Yassir Fazaga, ambaye anatoa ushauri wa Kisaikolojia nchini Marekani anasema, zipo kurasa milioni 420 ambazo zimechapishwa picha za utupu, na katika kila sekunde moja kuna takribani watu 29,000 wanatizama picha/video za ngono mtandaoni, ambapo kwa sku ni takribani search milioni 68, na mbaya zaidi 160,000 kati ya search hizo wanatafuta PICHA/VIDEO za uchi za watoto.

Aidha Marekani peke yake kwa mwezi watu wanatumia takribani dola bilioni moja katika PICHA/VIDEO za ngono, na duniani ni zaidi ya dola milioni 100 kwa siku. St. Gabriel Valley ndio sehemu inayo ongoza kwa kuchapisha picha za ngono duniani, takribani 13,000 video kwa mwaka, hii ni sehemu moja tu.

BADALA YA CHABO SASA NI SMARTPHONE
Wanaume wengi aidha wamehifadhi picha za ngono au wana access ya picha hizo kwenye simu zao, hutumia muda mwingi sana katika simu zao na takwimu zinaonyesha ni muda ambao yupo chumbani peke yake, au Baa, au sehemu ambayo anahisi hawezi kuonekana na mtu kirahisi.

WAHENGA WALIWAHI KUWA NA TATIZO HILO?
Wale ambao tulifanikiwa kukuta zama zile za hakuna simu wala VIDEO, kulikua kuna kitu wanaume wanakiita CHABO/KOZI (kuchungulia wakati watu wanafanya mapenzi, na kwa vijana walikua wakipeana taarifa kabisa kwamba leo ninademu hivyo njoo mchungulie ili naye ikiwa zamu ya wengine apewe nafasi pia.

MCHAWI MWENYEWE NI HUYU HAPA SASA
Mtu anaye tizama picha za Ngono, anaua uwezo wake wa asili wa KUAMRISHA MISULI NA AKILI KUWA TAYARI (stimulant).

KWANINI NILISEMA SIO PUNYETO, SIO CHIPSI MAYAI WALA MAWAZO.
  1. Punyeto kwa wale ambao wamewahi kufanza tabia hii watakuambia kitu kimoja kwamba PUNYETO HAIJAWAHI KUMRIDHISHA MTU TAMAA ZAKE ZA KIMWILI
  2. Sio chipsi Mayai, wataalamu wanatuambia Chipsi zinamnyima mtu nguvu za kusukuma mizigo mingi lakini sio za kusimamisha
  3. Mawazo yatamnyima mtu hamu ya tendo lakini sio kulegea wakati wa tendo.
NB
Punyeto ni ugonjwa wa wavuta BANGI

NYONGEZA YA MAWAZO INARUHUSIWA, KWA STAILI YOYOTE ILE ISIPOKUA TU KUA MAKINI MODERATOR ANAKUONA.
Uongo
 
Mchawi lishe nzuri na zoezi tu. Hamna kitu kama upungufu wa nguvu za kiumeni!

1.Amka na mazoezi ya mwili walau utoke jasho kidogo.
2.Piga uji wa ulezi bakuli moja na viazi vitamu au hogo la kuchemsha asubuhi.
3.Baada ya dkk 30-40 toka ulipokula jipige lita moja na nusu ya maji.
4.Mchana kula zako dona dagaa, arage kidogo na mboga ya majani na tunda aidha ndizi,parachichi au tikiti.
5.Baada ya lisaa jitie lita na nusu ya maji tena.
6. Jioni baada ya mishe zako unaweza piga pushups tu kama resistance exercise.Piga walau 30-50 bila kupumzika. Piga awamu tatu.
7. Kula chakula kiasi bila kusahau kusindikiza na tunda aidha ndizi,parachichi au tikiti.

Ukifanya haya ndani kuanzia siku ya 10 tu bila kupumzika utanipa majibu!

Nikama kula nyama za mafuta kabla hujanywa pombe ili usilewe haraka...
 
Kama unadhani jambo hili limekuzwa, ongea na wanawake watakuambia vituko wanavyokutana navyo...
Ni kweli tatizo lipo lakini pia limekuzwa kiasi cha kupoteza vijana kushindwa kuelewa ni kiwango gani mtu anatakiwa awe nacho!! Hali hii imewaharibu vijana kisaikolojia kiasi cha kuwafanya wasijiamini kabisa, wanawake/wasichana wametumia nafasi hii pia kuwatisha vijana mpaka wameonekana ni kweli wana hilo tatizo lakini kumbe wapo kawaida kabisa.. Mfano kuna vijimaneno ambavyo sio vizuri kwa vijana kama vile :huna lolote, mchafuaji tu..
..utaniweza maana siku izi nguvu za kiume zote mmeziacha chooni ..nawasihi wasichana kwa wanawake badilisheni kauli zenu lakini pia muwe chachu kwa wenzenu!!! Nawahakikishia kwa kufanya hivyo yale mabango kwenye magazeti na nguzo za umeme yatapungua.. Naomba kuwasilisha
 
Ni kweli tatizo lipo lakini pia limekuzwa kiasi cha kupoteza vijana kushindwa kuelewa ni kiwango gani mtu anatakiwa awe nacho!! Hali hii imewaharibu vijana kisaikolojia kiasi cha kuwafanya wasijiamini kabisa, wanawake/wasichana wametumia nafasi hii pia kuwatisha vijana mpaka wameonekana ni kweli wana hilo tatizo lakini kumbe wapo kawaida kabisa.. Mfano kuna vijimaneno ambavyo sio vizuri kwa vijana kama vile :huna lolote, mchafuaji tu..
..utaniweza maana siku izi nguvu za kiume zote mmeziacha chooni
emoji22.png
emoji22.png
..nawasihi wasichana kwa wanawake badilisheni kauli zenu lakini pia muwe chachu kwa wenzenu!!! Nawahakikishia kwa kufanya hivyo yale mabango kwenye magazeti na nguzo za umeme yatapungua.. Naomba kuwasilisha

Amin, Mkuu amin, sema kuna sehemu inabidi urekebishe sio vijana peke yao wanaoangalia picha za ngono hata wazee wanafanya hivyo
 
Sasa bangi inahusikaje hapa,mbona unakosa heshima.nyeto na bangi wapi na wapi?.
 
Hapo kwenye bangi ndo palipo haribu research yako. Imeonekana sio ya kweli.
 
NB
Punyeto ni ugonjwa wa wavuta BANGI

Hebu fafanua,kwamba wanaopiga punyeto wote ni wavuta bangi.
 
Back
Top Bottom