Nguvu za kiume wanaume msimtafute mchawi

Lakini ukweli usemwe, ukifanya yote hayo acha kuangalia picha za ngono pia, ndio utakua imara zaidi
 
Uongo
 

Nikama kula nyama za mafuta kabla hujanywa pombe ili usilewe haraka...
 
Kama unadhani jambo hili limekuzwa, ongea na wanawake watakuambia vituko wanavyokutana navyo...
Ni kweli tatizo lipo lakini pia limekuzwa kiasi cha kupoteza vijana kushindwa kuelewa ni kiwango gani mtu anatakiwa awe nacho!! Hali hii imewaharibu vijana kisaikolojia kiasi cha kuwafanya wasijiamini kabisa, wanawake/wasichana wametumia nafasi hii pia kuwatisha vijana mpaka wameonekana ni kweli wana hilo tatizo lakini kumbe wapo kawaida kabisa.. Mfano kuna vijimaneno ambavyo sio vizuri kwa vijana kama vile :huna lolote, mchafuaji tu..
..utaniweza maana siku izi nguvu za kiume zote mmeziacha chooni [emoji22][emoji22]..nawasihi wasichana kwa wanawake badilisheni kauli zenu lakini pia muwe chachu kwa wenzenu!!! Nawahakikishia kwa kufanya hivyo yale mabango kwenye magazeti na nguzo za umeme yatapungua.. Naomba kuwasilisha [emoji34][emoji34]
 

Amin, Mkuu amin, sema kuna sehemu inabidi urekebishe sio vijana peke yao wanaoangalia picha za ngono hata wazee wanafanya hivyo
 
Sasa bangi inahusikaje hapa,mbona unakosa heshima.nyeto na bangi wapi na wapi?.
 
Hapo kwenye bangi ndo palipo haribu research yako. Imeonekana sio ya kweli.
 
NB
Punyeto ni ugonjwa wa wavuta BANGI

Hebu fafanua,kwamba wanaopiga punyeto wote ni wavuta bangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…