Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,786
Habari wana jamvi
Kwa wale waislam hongereni kwa kuendelea na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kwa wale ambao ni waislam na hamkufanikiwa kufunga kwa sababu za maradhi Mwenyezi Mungu awanurusuni na maradhi hayo ili inshaalah muungane na wenzenu kabla ya ramadhani kwisha au Ramadhani ijayo muwe pamoja nao. Aidha kwa wale mlioamua kula kona tu kwa makusudi MUNGU ANAWAONA.
Nguvu za kiume - wanaume msimtafute mchawi, NDIO mchawi ni ninyi wenyewe na leo nawaambia tatizo linalowauwa sio MAWAZO YA MAISHA, SIO CHIPSI MAYAI PEKEE, WALA SIO PUNYETO. Wanaume ndio wanaoongoza kwa kuangalia PICHA/VIDEO ZA NGONO kuliko jinsi ya kike ulimwenguni, kwa Mujibu wa Msaikolojia Yassir Fazaga, ambaye anatoa ushauri wa Kisaikolojia nchini Marekani anasema, zipo kurasa milioni 420 ambazo zimechapishwa picha za utupu, na katika kila sekunde moja kuna takribani watu 29,000 wanatizama picha/video za ngono mtandaoni, ambapo kwa sku ni takribani search milioni 68, na mbaya zaidi 160,000 kati ya search hizo wanatafuta PICHA/VIDEO za uchi za watoto.
Aidha Marekani peke yake kwa mwezi watu wanatumia takribani dola bilioni moja katika PICHA/VIDEO za ngono, na duniani ni zaidi ya dola milioni 100 kwa siku. St. Gabriel Valley ndio sehemu inayo ongoza kwa kuchapisha picha za ngono duniani, takribani 13,000 video kwa mwaka, hii ni sehemu moja tu.
BADALA YA CHABO SASA NI SMARTPHONE
Wanaume wengi aidha wamehifadhi picha za ngono au wana access ya picha hizo kwenye simu zao, hutumia muda mwingi sana katika simu zao na takwimu zinaonyesha ni muda ambao yupo chumbani peke yake, au Baa, au sehemu ambayo anahisi hawezi kuonekana na mtu kirahisi.
WAHENGA WALIWAHI KUWA NA TATIZO HILO?
Wale ambao tulifanikiwa kukuta zama zile za hakuna simu wala VIDEO, kulikua kuna kitu wanaume wanakiita CHABO/KOZI (kuchungulia wakati watu wanafanya mapenzi, na kwa vijana walikua wakipeana taarifa kabisa kwamba leo ninademu hivyo njoo mchungulie ili naye ikiwa zamu ya wengine apewe nafasi pia.
MCHAWI MWENYEWE NI HUYU HAPA SASA
Mtu anaye tizama picha za Ngono, anaua uwezo wake wa asili wa KUAMRISHA MISULI NA AKILI KUWA TAYARI (stimulant).
KWANINI NILISEMA SIO PUNYETO, SIO CHIPSI MAYAI WALA MAWAZO.
Punyeto ni ugonjwa wa wavuta BANGI
NYONGEZA YA MAWAZO INARUHUSIWA, KWA STAILI YOYOTE ILE ISIPOKUA TU KUA MAKINI MODERATOR ANAKUONA.

- Punyeto kwa wale ambao wamewahi kufanza tabia hii watakuambia kitu kimoja kwamba PUNYETO HAIJAWAHI KUMRIDHISHA MTU TAMAA ZAKE ZA KIMWILI
- Sio chipsi Mayai, wataalamu wanatuambia Chipsi zinamnyima mtu nguvu za kusukuma mizigo mingi lakini sio za kusimamisha
- Mawazo yatamnyima mtu hamu ya tendo lakini sio kulegea wakati wa tendo.